Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mitandao gani huwa ubakubali freebasics?Oya wazee Freebasic leo vipi mbona inazingua naona leo mida ya jioni mpaka sasa inanizingua au halotel nao wamejitoa ?
Jitaidin mpitie website za mikoa na wilaya husika mnaweza kutana na majna kma iiMbeya cc kaz kwenu
Link[emoji1541]
![]()
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MUDA YA SENSA
KUPATA TANGAZO HILI BONYEZA HAPA PAKUA HAPA.pdfmbeyacc.go.tz
Vuta subira muda utaamuaDodoma jamani link ya majina wapi
Tuwe wapole.....Dodoma jamani link ya majina wapi
Freebasics ina uchawi siku hizi, kwenye yangu inakubali kwa browser ila kwenye tablet browser haikubali inataka app.Oya wazee Freebasic leo vipi mbona inazingua naona leo mida ya jioni mpaka sasa inanizingua au halotel nao wamejitoa ?
Kama una bifu na mtendaji imekula kwako[emoji1787]Wale wanangu waliokua wanasema Watendaji hawahusiki wako wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Majina ya Meatu DC nimeyaona.Shinyanga aliyenayo atupie basi...
Nikimkumbuka JPM huwa nakaa napiga magoti kumuombea pumziko la amani maana kazi aliifanya.Kwanini NBS wasiweke majina kwenye tovuti yao badala yakuanza kuangalia kwenye noticeboard za kata huko, mbona wanaleta uhuni kiasi hiki jamani, maana Kuna wengine watakosa usaili kwakutokupata taarifa mapema Kama majina kwenye wilaya yake yametoka. Yani kuapply watu wameapply electronically halafu majina wana release kwenye makaratasi. Nchi la kibwege sana hili kama hawatutaki siwaseme tu kuliko kuwekeana mitego yakipumbavu mtu uzubae wakupige chenga waweke mwingine, huu ni ulofa
[emoji23] kata yangu makarani jiti saba kasoroboJina langu limetokea ila hio nyomi ya kata yetu si mchezo aisee
Watu hawajui tu ila kwa kuwa huu uzi upo kuna kilio kitasikika hivi pundeNbs wametuangusha Sana sidhani Kama sie ambao sio walimu tutapata
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app