Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nbs wametuangusha Sana sidhani Kama sie ambao sio walimu tutapata

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tokea mwanzo mliambiwa hizi kazi ni za walimu mkabisha na kuanzisha ligi na walimu hapa. Unadhani mwalimu atamwacha mwalimu mwenzake kwenye usahili amchukue sijui graduate au form four leaver!! Labda kwa kufahamiana au kujazia walimu wasipotosha
 
Walimu kupewa jukumu la kusimamia usaili mpaka hapa tayari ni kosa la kiufundi maana kitakachofanyika ni walimu kubebana wao kwa wao kwa sababu sidhani kama mwl atamwacha mwl mwenzie yaani rafiki yake amchukue jobless graduate. It is IMPOSSIBLE narudia tena lT IS IMPOSSIBLE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…