Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tarehe 19Utaratibu ni upi sasa wa usaili ???
Tuko pamoja mkuu, hongeraMOSHI DISTRICT. NIMEJIONA. NOW. MASUBILI HATUA INAYOFATA YA USAILI.......
Tokea mwanzo mliambiwa hizi kazi ni za walimu mkabisha na kuanzisha ligi na walimu hapa. Unadhani mwalimu atamwacha mwalimu mwenzake kwenye usahili amchukue sijui graduate au form four leaver!! Labda kwa kufahamiana au kujazia walimu wasipotoshaNbs wametuangusha Sana sidhani Kama sie ambao sio walimu tutapata
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Acha u maandazi kumalizia watu bando lao wakati majina hayahusiani na sensa. Huu uzi ni wa sensa na siyo udereva
Acha wenge, hakuna hata mmoja alokosa walichokifanya NBS nikurudisha apllicants wote jinsi walivyo kwenye kata. Hakuna alokosa hata walofoji nida na mengineyo wamewekwa, yani kama ulituma NBS basi upo kwenye kata.MOSHI DISTRICT. NIMEJIONA. NOW. MASUBILI HATUA INAYOFATA YA USAILI.......
Wanangu wa kigoma vp mkeka bado tu
Hahahaha naona jamaa amefurahi mnoAcha wenge, hakuna hata mmoja alokosa walichokifanya NBS nikurudisha apllicants wote jinsi walivyo kwenye kata. Hakuna alokosa hata walofoji nida na mengineyo wamewekwa, yani kama ulituma NBS basi upo kwenye kata.
Poa na wewe ukiziona nitag mkuu tuone kama tupo auUkipata kibaha mji nitumie na mimi mkuu ingawa nahisi mpaka kesho
Meatu haiko tena Shinyanga ipo mkoa mpya wa Simiyu nadhani kama sijakoseaMajina ya Meatu DC nimeyaona.
Oiii mm kata ya uru kusini wewe kata ipi mzee ??Tuko pamoja mkuu, hongera
Hayo huja baadae pambana upate nafasi kwanza.Mpaka sasa sjajua mpunga wa sensa utakua kiasi gani ?