Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Walimu pamoja na kwamba wako kwenye system mwisho wa mwezi account inasoma bima safi matibabu ni uhakika fursa ya kuchukua mikopo lakini bado wana tamaa ya kutaka zaidi hizi fursa wangepewa kipaumbele jobless ili wajiajiri au mwenye nacho uongezewa
Walimu hawaitaki sensa, sensa Yenyewe ndio inawataka walimu
 
Mwanzo walitoa tamko kuwa zoezi litaenda kidigitali ili kuepusha hizo mbanga za kujuana ila naona maji yalizidi unga wakabwaga manyanga
 
Kwa halmashauri ya mafinga majina wamebandika kwenye ofisi za watendaji so pitieni huko

Langu nimeliona ila duh [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Mwenye ako na maswali yanayoulizwa anipe asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…