John kihuliko
Member
- Jan 11, 2022
- 19
- 20
Kuna kigoma kk atuelew cjui wameanza mikoa ya tz af wafate kwinginekoMkoa ambao utakua wa mwisho kutoa majina ni Katavi inaonekana huo mkoa unaviongozi wa zembe sana inabidi umulikwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kigoma kk atuelew cjui wameanza mikoa ya tz af wafate kwinginekoMkoa ambao utakua wa mwisho kutoa majina ni Katavi inaonekana huo mkoa unaviongozi wa zembe sana inabidi umulikwe
Kwenye interview wanauliza nini zaidiUkiipata ya Morogoro DC nijulishe kiongozi.
Mutu gani wewe??? Toa link au official Pdf hapa, uthibitishe mboyoyo zako. Usidhani humu ndani wote ni kuku kama wewe.Poor kabisa wewe, editing ipi hapo umeiona. Ebu omba mutu yoyote akutumie majina ya kata ya mpwayungu. Tahila mkubwa wewe
Walimu pamoja na kwamba wako kwenye system mwisho wa mwezi account inasoma bima safi matibabu ni uhakika fursa ya kuchukua mikopo lakini bado wana tamaa ya kutaka zaidi hizi fursa wangepewa kipaumbele jobless ili wajiajiri au mwenye nacho uongezewaDah hapa ndo serikali ijue mtaani Hali mbaya Ajira hamna.
Walimu hawaitaki sensa, sensa Yenyewe ndio inawataka walimuWalimu pamoja na kwamba wako kwenye system mwisho wa mwezi account inasoma bima safi matibabu ni uhakika fursa ya kuchukua mikopo lakini bado wana tamaa ya kutaka zaidi hizi fursa wangepewa kipaumbele jobless ili wajiajiri au mwenye nacho uongezewa
Mwanzo walitoa tamko kuwa zoezi litaenda kidigitali ili kuepusha hizo mbanga za kujuana ila naona maji yalizidi unga wakabwaga manyangaYaani watu kibao tunaenda kujazana ofisi za kata daah.
Hivi wanahitaji watu wangapi kwa kila kijiji/kata maana mtu unaweza kujichosha kufanya huo usaili kumbe wanahitajika mtu chache tu na tayari walishapangwa tayari.
NBS wangechambua tu wenyewe watoe mkeka hizi longo longo kibao ni kujifanya watenda haki ilhali wanakosea, kuwapa watu taharuki na kupotezeana muda bila sababu za msingi. Na wanajua fika kua lazma upangwaji wa watu kwa connection zao utakua ni mkubwa sana.
Chuo kikuu ushirika wana anza UE kesho j3 mmzee hapo ni panga la panga kuwapurusha jamani maskini !!!S
Sasa wanachuo wa mwenge si wapo karibu na UE hawawezi kusimamia sensa hao
Sio shaka wewe ni mtendajiMkuu una elimu gani? Yaan hauwez hata kutofautisha document fake na original???
Majina ya NBS hayajatolewa in alphabetical order, ukiachilia mbali hayo makosa ya typing kwenye heading... That's editing.
Morogoro MC, Morogoro DC zote kimyaMorogoro VP
Mikoa mingine ina viongozi wa hovyo sana
Ukienda kwenye site ya mkoa kuna post za 2019 Yan 🤣 inashangaza sanaMorogoro MC, Morogoro DC zote kimya
Mkoa wa morogoro viongozi wake ni wa hovyo sanaHalmashauri ambazo hazijatoa majina mpaka sasa ni wanandaa mazingira ya kubebana
Hata Tabora ni hivyohivyoMkoa wa morogoro viongozi wake ni wa hovyo sana
Nami naisubir hio link ndgu mwenye nayo aitume ili tupnguze preshaMwenye ako na Pdf ya Mara - Butiama aidondoshe humu tafadhali nyoyo zitulie