Zote hizi Ni hasira za ukarani tu daaaaaah nchi ngumu Sana hiiKat*mbwe sasa
Hapana, Morogoro wanaanza tarehe 20.Hebu niulize swali mwenye kujib anijib naona weng hatujaon mikeka yetu, kama hapa Arusha n kata moja tu imetoa majina. Swali ni je Tanzania nzima usaili unaanza kesho saa 2 au ni kwa waliopata mikeka yao tu. Mwenye jib tafadhal tujue kesh jobless tnaamkaj
Dar es salaam mpaka saiz hola, nimeona kinondoni tu, Ilala Bado hata huko kata hayajabandikwa Sasa sijui intavyuu ni Leo nchi nzima ama vipiNbs wame.mbwelesha sana huu.mchakato yaan wameshindwa kuchambua watu 225 k.tu ..sasa izo data wana kusanyaga kiusahihi kweli ? Yaan umeahindwa kuwachambua watu 250k.upate 225k imagine una kusanya data za watu mMil 65 ...nina mashaka....
Hapana haiwezi kuwa siku moja, mfano Morogoro MC na Morogoro DC wanafanya tarege 20, Jumatano.Dar es salaam mpaka saiz hola, nimeona kinondoni tu, Ilala Bado hata huko kata hayajabandikwa Sasa sijui intavyuu ni Leo nchi nzima ama vipi
Basi walau mtu ujijue ni wa kusuka au kunyoaHapana haiwezi kuwa siku moja, mfano Morogoro MC na Morogoro DC wanafanya tarege 20, Jumatano.
nisaidie kinondoni tafadhaliDar es salaam mpaka saiz hola, nimeona kinondoni tu, Ilala Bado hata huko kata hayajabandikwa Sasa sijui intavyuu ni Leo nchi nzima ama vipi
Imagine... Yaani hata mimi nimejiuliza sana...hawa wanaenda kuhesabu watu zaidi ya 60m wameshindwa kuweka majina ya watendaji 225k kwenye website yao kwa utaratibu mzuri wa kimkoa? Wanakaa wanasambaza majina nusunusu bila utaratibu wowote wa kueleweka..Sijui hiyo sensa itakuwaje au natakwim zitakua zinatoka nusunusu....Shame!Nbs wame.mbwelesha sana huu.mchakato yaan wameshindwa kuchambua watu 225 k.tu ..sasa izo data wana kusanyaga kiusahihi kweli ? Yaan umeahindwa kuwachambua watu 250k.upate 225k imagine una kusanya data za watu mMil 65 ...nina mashaka..
Website yao ime elemewa haifunhuki ontime ...huku kazuramimba kuna baadhi ya walioomba mpaka sasa wanakodolea macho laptopuu za kuazimia
NBS wana uhaba wa watumishi. Wamejazana wazee wazee walioajiriwa tokea enzi za mwinyi na mkapaImagine... Yaani hata mimi nimejiuliza sana...hawa wanaenda kuhesabu watu zaidi ya 60m wameshindwa kuweka majina ya watendaji 225k kwenye website yao kwa utaratibu mzuri wa kimkoa? Wanakaa wanasambaza majina nusunusu bila utaratibu wowote wa kueleweka..Sijui hiyo sensa itakuwaje au natakwim zitakua zinatoka nusunusu....Shame!
Ukikutana na la Sokon 1 tujuzane
Niki upload Ina chelewa kujaUkikutana na la Sokon 1 tujuzane
Nikupeeee wapi hapa hapa??nisaidie kinondoni tafadhali
Hauna wilaya ya temeke?Mzigo full
hiloTanga mjini vipi
Mwenye majina ya Mkoa wa Tanga na Wilaya zake tafadhali ayapakie hapa.
Kitambo sanamkuu na hatimaye jina lako ushaliona nini?
Namsalimia tu mkuuNi muda wa kufocous na mikeka na usahili acha kumnyatia mawardat kimasihara