Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Hapo kiambatanisho kingine ndo unaweka nini!!??
Unaweka cheti kingine si unajua watu wanamdiploma yao na madgree wengine pia wana mashort course ya kutumia kishkwmbi kutoka pale chuo cha takwimu n wengine pia walimu ,MaIT so makolokolo hayo hapo Ndo kwake
Kila la heri ndungu
 
Aliyeenda iringa ukiona simu yake usipokee atakuwa anaomba nauli ya kurudi.
Huyo alikutana na tapeli .
Semina Zitafanyika wilayani wako
 
Unaweka cheti kingine si unajua watu wanamdiploma yao na madgree wengine pia wana mashort course ya kutumia kishkwmbi kutoka pale chuo cha takwimu n wengine pia walimu ,MaIT so makolokolo hayo hapo Ndo kwake
Kila la heri ndungu
Hivi pale pa kurudisha fomu iliosainiwa tunatuma form namba ngap maana hata sielewi
 
Vip pake kwenye kuwasilisha fomu iliosainiwa unatuma fomu namba ngap maana inataka moja na karatasi zipo tatu
Scan zote tuma zisican zote ziunganishe ziwe pdf moja unaweza tumia website ya I love pdf nazan Ina option ya kumarge pdf
 
Mpk Sasa sijatumiwa kitu chochote katika email yangu PAMOJA na ku refresh kote hivyo nimefeli kupakua fomu namba moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…