gim
Senior Member
- Jan 28, 2022
- 131
- 241
Bado mkuu inanisumbuaUshafanikiwa kudownload?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mkuu inanisumbuaUshafanikiwa kudownload?
Ingia kwenye email yako ujaribu kuangalia kwenye spam mail inaweza kuwepo.Yan wame goma kuni tumia mesej kabisa yan dahhh
Unaweka cheti kingine si unajua watu wanamdiploma yao na madgree wengine pia wana mashort course ya kutumia kishkwmbi kutoka pale chuo cha takwimu n wengine pia walimu ,MaIT so makolokolo hayo hapo Ndo kwakeHapo kiambatanisho kingine ndo unaweka nini!!??
Aliyeenda iringa ukiona simu yake usipokee atakuwa anaomba nauli ya kurudi.Mkuu unafukiria nineongea kwa kurupuka. Ni 100% watu wapo kwenye semina Iringa. Sio nineongea kwa fantasies zilizokuwepo bali nakwambia nilicho nauhakika nacho. Labda kama hizi semina zinaenda kwa awamu awamu au labda walienda kwa connection wanaanza kwanza semina kisha wanafuatilia wengineo
Hujakosea email kweli wewe? Maana nimewaunganishia watu kadhaa kiroho safi hakuna usumbufuSijui changamoto iko wapi ... msg haiji na hakuna jinsi ya kuanza upya
Hivi pale pa kurudisha fomu iliosainiwa tunatuma form namba ngap maana hata sielewiUnaweka cheti kingine si unajua watu wanamdiploma yao na madgree wengine pia wana mashort course ya kutumia kishkwmbi kutoka pale chuo cha takwimu n wengine pia walimu ,MaIT so makolokolo hayo hapo Ndo kwake
Kila la heri ndungu
Sijakosea maana ni e-mail niliyokua natumia tangu zamani sanaHujakosea email kweli wewe? Maana nimewaunganishia watu kadhaa kiroho safi hakuna usumbufu
Ikitokea mtu amekosea e-mail kuna jinsi ya kufanyaHujakosea email kweli wewe? Maana nimewaunganishia watu kadhaa kiroho safi hakuna usumbufu
Vip pake kwenye kuwasilisha fomu iliosainiwa unatuma fomu namba ngap maana inataka moja na karatasi zipo tatuHujakosea email kweli wewe? Maana nimewaunganishia watu kadhaa kiroho safi hakuna usumbufu
Swali; kwa wale ambao hatuna namba za nida tunafanyaje kukamilisha maombi? Maana wengine ndio tumefikisha 18 mwaka jana.
Scan zote tuma zisican zote ziunganishe ziwe pdf moja unaweza tumia website ya I love pdf nazan Ina option ya kumarge pdfVip pake kwenye kuwasilisha fomu iliosainiwa unatuma fomu namba ngap maana inataka moja na karatasi zipo tatu
Unahitaji msaada gani nikusaidie?Kwa alie fanikiwa kuwasilisha fomu iliosainiwa naomba msaada.
Aisee so mkuu ulijiunga Jf na miaka 10 ?Swali; kwa wale ambao hatuna namba za nida tunafanyaje kukamilisha maombi? Maana wengine ndio tumefikisha 18 mwaka jana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee so mkuu ulijiunga Jf na miaka 10 ?
Pia Microsoft office app ina option ya kuunganisha scanned documents zote kuwa pdf mojaScan zote tuma zisican zote ziunganishe ziwe pdf moja unaweza tumia website ya I love pdf nazan Ina option ya kumarge pdf
Yah afuate muongozoPia Microsoft office app ina option ya kuunganisha scanned documents zote kuwa pdf moja
Swali juu ya swali sio?Aisee so mkuu ulijiunga Jf na miaka 10 ?
Nilikosea ni “MAOMBI YAMETUMWA” tuNdugu hilo neno kikamilifu mbona silioni au ?