Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Wengine tuna soft copy tu ya vyeti,vyeti original vipo mbali na ss, tulisha sahau hbr za kuomba ajira na kwenda kwenye interview

Ngoja niachane na hii kazi ya muda niendelee na harakati zangu za mtu mweusi za kujipatia kipato
 
New Ramli fikirishi: ukitoa wna chuo ,walikuwa mbali kuna wengine hawana vyeti OG hivyo kutakuwa kuna baadhi watu watapungua kwenye usahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…