Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nipo kwenye foleni kwa ajili ya usaili.

Tupo wengi sana ila tumepewa taarifa mbil tu mpaka sasa,

Kwamba sote tuliofika tutafanyiwa usaili hata ikibidi mpaka usiku

Na kwamba baada ya kufanyiwa usaili utapaswa kuondoka na kuendelea kusubiri taarifa zaidi mtandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…