Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nyie ni makarani watarjiwa au watu wa TEHAMA?Mi nadhani makarani itabidi wafanye written?
 
Nimetoka huko kufanya usahili wao wa kiinua mgongo,ni mgumu kuliko ule wa Utumishi [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wakuu majina yametoka ingieni assengaonline.com majina ya mikoa yote
Nyie wenyewe hamna hayo majina zaidi ya kuwadirect watu wadownload telegram utafikiri mmeambiwa hizo telegram watu hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…