Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ni makarani watarjiwa au watu wa TEHAMA?Mi nadhani makarani itabidi wafanye written?Nipo kwenye foleni kwa ajili ya usaili.
Tupo wengi sana ila tumepewa taarifa mbil tu mpaka sasa,
Kwamba sote tuliofika tutafanyiwa usaili hata ikibidi mpaka usiku
Na kwamba baada ya kufanyiwa usaili utapaswa kuondoka na kuendelea kusubiri taarifa zaidi mtandaoni.
Mtendaji wa kata.Hivi ni mtendaji wa kata au serikali ya mtaa..!? Au ndo wanakua watendaji wote
Wapi hukondo natoka kwenye interview.., ila watu kibao hawajatokea
Hapa tupo makarani na wasimamizi maudhui, ila hatufanyi usaili wa kuandikaNyie ni makarani watarjiwa au watu wa TEHAMA?Mi nadhani makarani itabidi wafanye written?
Msalimie huyo mtendaji wangu hapo katani kaweNIPO KATA SASAHIVI NI NDANI YA KINONDONI MTENDAJI NA MWENYEKITI WAMENIAMBIA MAJINA BADO HAWAJALETEWA SO YAKILETWA YATABANDIKWA NA ANASEMA DAR NZIMA OVER
Tupe abc mkuundo natoka kwenye interview.., ila watu kibao hawajatokea
Kweli bongo nyoso,Nimetoka huko kufanya usahili wao wa kiinua mgongo,ni mgumu kuliko ule wa Utumishi [emoji1][emoji1][emoji1]
Hakuna kituWakuu majina yametoka ingieni assengaonline.com majina ya mikoa yote
Nyie wenyewe hamna hayo majina zaidi ya kuwadirect watu wadownload telegram utafikiri mmeambiwa hizo telegram watu hawanaWakuu majina yametoka ingieni assengaonline.com majina ya mikoa yote
Acha basi😂😂Nimetoka huko kufanya usahili wao wa kiinua mgongo,ni mgumu kuliko ule wa Utumishi [emoji1][emoji1][emoji1]
Kinondoni kata chache ndo mkeka unaoneshaDar es salaam mpaka saiz hola, nimeona kinondoni tu, Ilala Bado hata huko kata hayajabandikwa Sasa sijui intavyuu ni Leo nchi nzima ama vipi
Ndio sio kata zoteKinondoni kata chache ndo mkeka unaonesha