Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ilala tayari wazee nashindwa ku upload pdf hapa ila ukiingia blog ya assengaonline utakuta mzigo wote wa Ilala pamoja na barua ya kuhudhuria usaili tarehe 20 jumatano hadi 21 alhamisi.
View attachment 2296510
 
Ilala tayari wazee jitahidini kucheck majina yenu kama upo basi usaili ni kesho.

Nashindwa ku upload pdf hapa ila kata zote za wilaya ya Ilala tayari.
 
Nini maana ya sensa ?

Zoezi la sensa linafanyika lini ?

Hii ni sensa ya ngapi ?

Ikitokea kishkwambi kimezima utafanyaje ?
Hilo la mwisho jibu lake ni Utakiwasha
Hapo kwenye kishkwambi kikistaki jibu jibu jepesi ni kumjulisha msimamizi wa tehama kwa usaidizi/utatuzi.
Yes na hili ni jukumu lao namba 4
 
Unataka mkoa gani na Wilaya gani nikupe link...acha uboya kwanini niseme majina yote yapo means Nina uhakika ..ajiraleo website yao hwaja update yote Ila assenga utakuta
Temeke dar es salaam. Kigamboni dar es salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…