Siriaz kuna watu wameliwa vichwa mbona majina mengi mno ?Tulioliwa vichwa tujuane plz
Wee utakuqa yupe jamaaa anaehusika na usahiliVp walimu wameingia wote
Vp walimu wameingia wote wameisha??
Hapana hata sipo moshi, ila Uru Kusini agenda yao nikuchukua kwanza walimu halafu wengine mfate nyuma, hii nchi walimu wana njaa sana, nadhani kupitia hili zoezi umeweza kuamn maneno yanguWee utakuqa yupe jamaaa anaehusika na usahili
Mimi si Mwalimu lakini penye hela HAKUNA asiye na njaa Tanzania hii, sio Waalimu, Watendaji wa vijiji, Manesi mpaka Mawaziri na WabungeHapana hata sipo moshi, ila Uru Kusini agenda yao nikuchukua kwanza walimu halafu wengine mfate nyuma, hii nchi walimu wana njaa sana, nadhani kupitia hili zoezi umeweza kuamn maneno yangu
Umefanya usaili bila jina kuonekana ?...🙄🙄Duuh wazee nmeumia sana possibl za hum zote n kama mlikuw mnanip mm zot nmeulizw na zot nmejib bila kuach sentens mpk wasimamiz wakashangaa shida jina lang NBS hawajalirudish, mwishon ndo nawapa chet wanaskitik jina lang halipo dah nmeumia sana wazee.
Ujengewe sanamu NBS KIONGOZI
Dah mzee mbna kama umesema vyema , maana walimu waliitwa before , then wakamaliza , ila moshi manispaa wameliwa kichwa woteeeeeeHapana hata sipo moshi, ila Uru Kusini agenda yao nikuchukua kwanza walimu halafu wengine mfate nyuma, hii nchi walimu wana njaa sana, nadhani kupitia hili zoezi umeweza kuamn maneno yangu
Kesho maswali yatakua nondo balaa..Ujengewe sanamu NBS KIONGOZI
Sensa itafanyika usiku?wadau nyie kama wasimamizi mtu amejibu sensa itafanyika usiku wa teree 22 kuamkia taree 23 then akaulizwa siku gan akajib jumatatu ...kwenye marks kum utampa ngap? au akikosea anapigwa kosa kubwa
Mkuu hiyo ya kwanza nmeshindwa kuiview sio kwa app wa website naomba nisaidie kuipost tena kama umeipataUjengewe sanamu NBS KIONGOZI
Marks ni 0 kakosa kabisa.Sensa itafanyika usiku?
Hivi unajua maana ya scam mkuu?Scam kibao hapo
Hiyo asenga hakuna chochote kinondoni imewekwa tu ndege JOHN we kenge wa wakingeseIngia assengaonline acha ubishiView attachment 2296430
Mkuu ebu tutafsilie vzr majibu unachukua ayo yaliyo wekwa marks adi swali la kwanza unajibu ndiyo.
Mmmmh mkuu hiyo kunduchi sio tusi?JAMANI TUSAIDIANE NA MAJINA YA KATA YA KUNDUCHI MANISPAA YA KINONDONI MAJINA KAMA YAMEBANDIKWA WENGINE TUPO MBALI.