Ulipata solution mkuu,mimi nina tatizo linalofanana na bilowakuu nilijaribu kumsaidia mtu kumtumia maombi, sasa nikakosea email naona nitashindwa kupata zile password na username, nimejaribu kuwapigia nbs naona namba inatumika toka kulipokucha na nikiwapata hawapokei simu.
nifanye nini niweze kupata hizo username mana hata email niliyoandika ni invalid?
Hizo ni semina za watendaji kata na maofisa wengine watakaosimamia zoezi,ni kweliSensa ni mwezi wa 8 yaani semina zianze last week?!!! [emoji44][emoji44] Be serious mkuu [emoji1787]
Wewe si mkenya wewe?Wakuu mnisaidie form yangu haitaki kujidownload mwenye anaweza anisaidie
Hakuna shida maana hao ni robo tu ya watu wanaohitajika mkuu,alafu tumia lugha nzuri maana nao ni binadamu kama wewe,Takwimu za jana zinaonesha MIJITU ILIOKUWA HAINA AJIRA NDIO INAONGOZA KUOMBA ZOEZI LA SENSA NI 58,916 mpaka jana
Mbona kama hio elfu 58+ kama niwachache mm nilijua tushatoboa kwenye elf 80+ hukoTakwimu za jana zinaonesha MIJITU ILIOKUWA HAINA AJIRA NDIO INAONGOZA KUOMBA ZOEZI LA SENSA NI 58,916 mpaka jana
Jana kulikuwa nadhani kuna shida kwenye Gmail maana hata ukituma imeli kwa mtu zilikuwa hazifikiNimejaza kote nimemaliza,nimetuma maombi sijapata jibu lolote,nimeangalia email hawajanitumia....
Nimecheck spam box empty,nimereflesf mailbox nothing.....
Nimerudi kwenye mfumo nimejaza tena taarifa nimetuma tena najibiwa NAMBA HII ISHATUMIKA KUTUMA MAOMBI YA SENSA NENDA KATIKA EMAIL YAKO UANGALIE USERNAME NA PASSWORD UINGIE KUPRINT FORM NO.1 ....ila nikiingia hakuna kitu
Msaaaaaadaaaa jamani
Nifanye nini ndugu watanzania wenzangu?
Nafasi zinazohitajika ni laki 2 , sema wengi tupo mijini sijui kama watatufidia hata vijijini maana makazi ndo yana being considered , mfano mimi nipo moshi manispaa ,, pembeni kidogo ni moshi vijijini wilaya sijui kama hata tukijaa hapa mjini , watachagua heads za kwenda hapo moshi vijijini DC au ukikatwa MAZIMA ? hata kama mkiwa wengi mme apply mijini??Mbona kama hio elfu 58+ kama niwachache mm nilijua tushatoboa kwenye elf 80+ huko
Vyeti gani mfanoHivi ni lazima vyeti viwe certified na muhuri ? Pamoja viwe black and white ?
Huko vijijini Kuna low population means hata demand ya watu Ni ndogo so hapo mostly walimu waliopo maeneo ya huko ndo watapata shavu trust meNafasi zinazohitajika ni laki 2 , sema wengi tupo mijini sijui kama watatufidia hata vijijini maana makazi ndo yana being considered , mfano mimi nipo moshi manispaa ,, pembeni kidogo ni moshi vijijini wilaya sijui kama hata tukijaa hapa mjini , watachagua heads za kwenda hapo moshi vijijini DC au ukikatwa MAZIMA ? hata kama mkiwa wengi mme apply mijini??
Nawe unapata hii changamoto?Jana kulikuwa nadhani kuna shida kwenye Gmail maana hata ukituma imeli kwa mtu zilikuwa hazifiki
Form 4 , 6 ,cha u jobless graduate !Vyeti gani mfano
mkuu nafikiri wewe ulituma maombi yakaenda, sasa hawa jamaa system yao haina mambo ya kukorect yale maombi ya mwanzo angalia ujumbe ule vizuri wanasema email inatumika mara moja tu basi, na wanataka uwe makini sana hakikisha mara mbilimbili, it means huwezi kuomba tena hata kama ukiwa umekosea, wapotezee tu mzee fanya mishe zingine.Daah mi mwenyewe nina shida hii hii.. Mpaka nimeshachoka kutuma tena.... Mana kila nikituma inaniletea huo ujumbe na nashindwa kupata form
Ulipata solution mkuu,mimi nina tatizo linalofanana na bilo
Wametoa hio taarifa na hata hawaonyeshi kama kuna namna ya rectify makosa, means we are doomed mkuu, mimi nakata tamaa mana nimetuma na email lakini no response, pga sana zile namba za mchongo siwapati.Ulipata solution mkuu,mimi nina tatizo linalofanana na bilo
Certified ukimaanisha cheti.. O.G?Form 4 , 6 ,cha u jobless graduate !
Kutokana na ufinyu wa vigezo vya hz kazi nilijua watu watakaoomba watafika milioni plus, Ila kwa muendelezo huu hata Laki 6 hawatofika.. na inaonesha robo ya waombaji watakuwa wametuma maombi kimakosa.. just imagine wengine hawana namba za NIDA, vyeti vya kuzaliwa.. But Kila la kheri Wasakatongemkuu nafikiri wewe ulituma maombi yakaenda, sasa hawa jamaa system yao haina mambo ya kukorect yale maombi ya mwanzo angalia ujumbe ule vizuri wanasema email inatumika mara moja tu basi, na wanataka uwe makini sana hakikisha mara mbilimbili, it means huwezi kuomba tena hata kama ukiwa umekosea, wapotezee tu mzee fanya mishe zingine.
Wametoa hio taarifa na hata hawaonyeshi kama kuna namna ya rectify makosa, means we are doomed mkuu, mimi nakata tamaa mana nimetuma na email lakini no response, pga sana zile namba za mchongo siwapati.