omkalendelo
Senior Member
- Feb 24, 2017
- 115
- 186
Mi nimeona jina langu so nauliza hio kata iliyoandikwa ndo unatakiwa uanzie hapoHiyo asenga hakuna chochote kinondoni imewekwa tu ndege JOHN we kenge wa wakingese
Mkuu tupe possible hzo mkuu na sisi tukaue ukoDuuh wazee nmeumia sana possibl za hum zote n kama mlikuw mnanip mm zot nmeulizw na zot nmejib bila kuach sentens mpk wasimamiz wakashangaa shida jina lang NBS hawajalirudish, mwishon ndo nawapa chet wanaskitik jina lang halipo dah nmeumia sana wazee.
Hivi mkuu mfano kata yako ulipofanyia usaili utaratibu wa kuitwa ni kutokana na alphabetical order ama ni kutokana na mtu wa kwanza kufika ndo anaitwa?Duuh wazee nmeumia sana possibl za hum zote n kama mlikuw mnanip mm zot nmeulizw na zot nmejib bila kuach sentens mpk wasimamiz wakashangaa shida jina lang NBS hawajalirudish, mwishon ndo nawapa chet wanaskitik jina lang halipo dah nmeumia sana wazee.
Unapewa nambaHivi wakuu kwa ambao wamefanya usaili ni kwamba wanaita majina in alphabetical order ama wa kwanza kufika ndo wa kwanza kuingia kwenye usaili?
Ama wao wenyewe wana utaratibu wao wa kuita watu kwa ajili ya usaili?
Mkuu wewe kwenye kata yako utaratibu wa usaili ukoje mkishafika eneo la tukio?Hatarereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Sanaaaaaaaasaaaaaaaa
kwani taree 23 inaanza saa ngpSensa itafanyika usiku?
Ndiyo. Mwaka 2012 usiku wa sensa mimi nilichukuliwa na gari mpaka hospital nilihesabu wagonjwa waliolazwa HospitalSensa itafanyika usiku?
Unapewa kadi yenye namba, unapanga foleni kulingana na mtiririko wa namba yako yakwenye kikaratasi, kipindi wanapoanza kugawa namba ukiambiwa msisogee mlangoni msisogee kweli maana mkiwa wasumbufu wanaweza kupewa wa nyuma kabisa nyie wa mwanzo mkaachwa, walimu na uvccm wanapewa kipaumbeleMkuu wewe kwenye kata yako utaratibu wa usaili ukoje mkishafika eneo la tukio?
Je, wanaanza kuita majina kutokana na mpangilio wa herufi let say herufi A hadi Z ama ni wa kwanza kufika ndo wa kwanza kuitwa?
Ama wenyewe wana utaratibu wao wamejiwekea? Ufafanuzi tafadhali angalau tupate picha ingawaje kila kata huenda wakawa na utaratibu wao.
Kulingana na muda unaofika eneo la usaili ama mnakusanyika wote ndo wanaanza kugawa namba?Unapewa namba
Huku wamehakiki cheti kimoja tu cha form four hawajataka kitu kingineWakuu sina kitambulisho chochote wala leseni ya baiskeli nina namba za nida tu ,vipi niingie kwenye usahili au nibaki sebuleni kwenye kochi nikicheki muvi kwa shemeji ?maana kuna mtu kanitisha eti wataniambia subiri sensa ijayo..
Unawapa cheti original cha form 4 wakihakiki unaondoka nacho muda huo huo ama unasubiri nje waendelee kuhakiki?Huku wamehakiki cheti kimoja tu cha form four hawajataka kitu kingine
Nimekupata mkuu. Ila hili la upendeleo wa uvccm hawawezi kujaribu kufanya hivyo hadharani ni kosa kubwa.Unapewa kadi yenye namba, unapanga foleni kulingana na mtiririko wa namba yako yakwenye kikaratasi, kipindi wanapoanza kugawa namba ukiambiwa msisogee mlangoni msisogee kweli maana mkiwa wasumbufu wanaweza kupewa wa nyuma kabisa nyie wa mwanzo mkaachwa, walimu na uvccm wanapewa kipaumbele
Hapo jibu sahihi ni usiku wa tarehe 22 kuamkia tarehe 23/08/2022, siku ya jumanne.kwani taree 23 inaanza saa ngp
Nihadharani kabisa mkuuNimekupata mkuu. Ila hili la upendeleo wa uvccm hawawezi kujaribu kufanya hivyo hadharani ni kosa kubwa.
Huku kwetu walianza wa kwanza kwenye list mpaka wa mwisho tulikuwa watu kama 75 hivi kata nzima.Hivi mkuu mfano kata yako ulipofanyia usaili utaratibu wa kuitwa ni kutokana na alphabetical order ama ni kutokana na mtu wa kwanza kufika ndo anaitwa?
Au kuna utaratibu wao wenyewe wameweka? Tujuzane mkuu maana mtu unaweza kudamka mapema halafu ukaitwa mwisho kabisa.
WeEe jamaa nishakuja aseeeeeeee ndo ulikuwa unatupa maelekezo kutoka ndani ya nini kifanyikeUnapewa namba