Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Tuko wengi... Sijui solution tunaipataje
 
Ukipata solution naomba unijulishe na Mimi pia
 
Kwenye kuchagua mkoa napata machaguo vizuri ila kuanzia wilaya, halmashauri, jimbo, n.k machaguo hayaji na nikiandika kwa kawaida hayakai. Vipi shida ni nini hapo? Nifanyeje kuendelea??
 
Ina maana hujui muhuri wa hakimu , mwanasheria ? Or advocathi
Najua mkuu
Kwenye kuchagua mkoa napata machaguo vizuri ila kuanzia wilaya, halmashauri, jimbo, n.k machaguo hayaji na nikiandika kwa kawaida hayakai. Vipi shida ni nini hapo? Nifanyeje kuendelea??
Jaza sehemu zote then Fanya Kama unatuma Maombi then zile sehemu zilizokataa zitaonekana vizur na utajaza mkuu.
 
Kwanini uwsemee wengine? Nani kakambia hana namba NIDA, unasema wengine hawana vyeti vya kuzaliwa kwahiyo huyo mtu amejiungaje na ngazi za elimu bila hicho cheti?
 
Kwanini uwsemee wengine? Nani kakambia hana namba NIDA, unasema wengine hawana vyeti vya kuzaliwa kwahiyo huyo mtu amejiungaje na ngazi za elimu bila hicho cheti?
Kwani ngazi za elimu ni lazima cheti Cha kuzaliwa au Cha NIDA..?
Halafu mbona NBS wenyewe wametolea ufafanuzi hili Jana yaan hizo changamoto zipo kabisa ndo maana wakasema kama muombaji unahitaji kuomba na huna cheti Cha kuzaliwa basi tumia hata affaditary (kama sikosei)... Wewe unabisha nn sasa au point yako Iko wapi..?
 
Watakaochaguliwa majina Yao yatatumwa kwa watendaji au kwenye email zetu? Naomba msaada wa majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…