Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nimejaza kote nimemaliza,nimetuma maombi sijapata jibu lolote,nimeangalia email hawajanitumia....
Nimecheck spam box empty,nimereflesf mailbox nothing.....
Nimerudi kwenye mfumo nimejaza tena taarifa nimetuma tena najibiwa NAMBA HII ISHATUMIKA KUTUMA MAOMBI YA SENSA NENDA KATIKA EMAIL YAKO UANGALIE USERNAME NA PASSWORD UINGIE KUPRINT FORM NO.1 ....ila nikiingia hakuna kitu

Msaaaaaadaaaa jamani
Nifanye nini ndugu watanzania wenzangu?
Tuko wengi... Sijui solution tunaipataje
 
Ukipata solution naomba unijulishe na Mimi pia
 
Kwenye kuchagua mkoa napata machaguo vizuri ila kuanzia wilaya, halmashauri, jimbo, n.k machaguo hayaji na nikiandika kwa kawaida hayakai. Vipi shida ni nini hapo? Nifanyeje kuendelea??
 
Ina maana hujui muhuri wa hakimu , mwanasheria ? Or advocathi
Najua mkuu
Kwenye kuchagua mkoa napata machaguo vizuri ila kuanzia wilaya, halmashauri, jimbo, n.k machaguo hayaji na nikiandika kwa kawaida hayakai. Vipi shida ni nini hapo? Nifanyeje kuendelea??
Jaza sehemu zote then Fanya Kama unatuma Maombi then zile sehemu zilizokataa zitaonekana vizur na utajaza mkuu.
 
Kutokana na ufinyu wa vigezo vya hz kazi nilijua watu watakaoomba watafika milioni plus, Ila kwa muendelezo huu hata Laki 6 hawatofika.. na inaonesha robo ya waombaji watakuwa wametuma maombi kimakosa.. just imagine wengine hawana namba za NIDA, vyeti vya kuzaliwa.. But Kila la kheri Wasakatonge
Kwanini uwsemee wengine? Nani kakambia hana namba NIDA, unasema wengine hawana vyeti vya kuzaliwa kwahiyo huyo mtu amejiungaje na ngazi za elimu bila hicho cheti?
 
Ndio zipi mkuu,, wengine tumetumia simu
Kwa wanaopata shida kujaza form namba 1 kwenye system hebu jaeibuni kutumia MICROSOFT EDGE browser.
800px-Microsoft_Edge_logo_(2019).svg-1.jpg
 
Kwanini uwsemee wengine? Nani kakambia hana namba NIDA, unasema wengine hawana vyeti vya kuzaliwa kwahiyo huyo mtu amejiungaje na ngazi za elimu bila hicho cheti?
Kwani ngazi za elimu ni lazima cheti Cha kuzaliwa au Cha NIDA..?
Halafu mbona NBS wenyewe wametolea ufafanuzi hili Jana yaan hizo changamoto zipo kabisa ndo maana wakasema kama muombaji unahitaji kuomba na huna cheti Cha kuzaliwa basi tumia hata affaditary (kama sikosei)... Wewe unabisha nn sasa au point yako Iko wapi..?
 
Watakaochaguliwa majina Yao yatatumwa kwa watendaji au kwenye email zetu? Naomba msaada wa majibu
 
Back
Top Bottom