Wewe km mmMpk Sasa sijatumiwa kitu chochote katika email yangu PAMOJA na ku refresh kote hivyo nimefeli kupakua fomu namba moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe km mmMpk Sasa sijatumiwa kitu chochote katika email yangu PAMOJA na ku refresh kote hivyo nimefeli kupakua fomu namba moja
Tuko wengi... Sijui solution tunaipatajeNimejaza kote nimemaliza,nimetuma maombi sijapata jibu lolote,nimeangalia email hawajanitumia....
Nimecheck spam box empty,nimereflesf mailbox nothing.....
Nimerudi kwenye mfumo nimejaza tena taarifa nimetuma tena najibiwa NAMBA HII ISHATUMIKA KUTUMA MAOMBI YA SENSA NENDA KATIKA EMAIL YAKO UANGALIE USERNAME NA PASSWORD UINGIE KUPRINT FORM NO.1 ....ila nikiingia hakuna kitu
Msaaaaaadaaaa jamani
Nifanye nini ndugu watanzania wenzangu?
Asa mm ni toka ijumaa ilopitaJana kulikuwa nadhani kuna shida kwenye Gmail maana hata ukituma imeli kwa mtu zilikuwa hazifiki
Ukipata solution naomba unijulishe na Mimi piaNimejaza kote nimemaliza,nimetuma maombi sijapata jibu lolote,nimeangalia email hawajanitumia....
Nimecheck spam box empty,nimereflesf mailbox nothing.....
Nimerudi kwenye mfumo nimejaza tena taarifa nimetuma tena najibiwa NAMBA HII ISHATUMIKA KUTUMA MAOMBI YA SENSA NENDA KATIKA EMAIL YAKO UANGALIE USERNAME NA PASSWORD UINGIE KUPRINT FORM NO.1 ....ila nikiingia hakuna kitu
Msaaaaaadaaaa jamani
Nifanye nini ndugu watanzania wenzangu?
Namimi pia hakuna solutions?Sijui changamoto iko wapi ... msg haiji na hakuna jinsi ya kuanza upya
Msaada ukifanikiwa mkuuYan wame goma kuni tumia mesej kabisa yan dahhh
Mkuu umefanikiwa?Mbona mimi hawaniletei sms ya username na password toka asubuhi nasubr,nataka niedit taarfa nashindwa damn!
Upo wapi?Tunatoa huduma ya msaada wa maombi kwa mtandao
Njoo stationary kwetu
+255 769 925 004
Asa mm ni toka ijumaa ilopitaJana kulikuwa nadhani kuna shida kwenye Gmail maana hata ukituma imeli kwa mtu zilikuwa hazifiki
Ina maana hujui muhuri wa hakimu , mwanasheria ? Or advocate ?Certified ukimaanisha cheti.. O.G?
Najua mkuuIna maana hujui muhuri wa hakimu , mwanasheria ? Or advocathi
Jaza sehemu zote then Fanya Kama unatuma Maombi then zile sehemu zilizokataa zitaonekana vizur na utajaza mkuu.Kwenye kuchagua mkoa napata machaguo vizuri ila kuanzia wilaya, halmashauri, jimbo, n.k machaguo hayaji na nikiandika kwa kawaida hayakai. Vipi shida ni nini hapo? Nifanyeje kuendelea??
Kwanini uwsemee wengine? Nani kakambia hana namba NIDA, unasema wengine hawana vyeti vya kuzaliwa kwahiyo huyo mtu amejiungaje na ngazi za elimu bila hicho cheti?Kutokana na ufinyu wa vigezo vya hz kazi nilijua watu watakaoomba watafika milioni plus, Ila kwa muendelezo huu hata Laki 6 hawatofika.. na inaonesha robo ya waombaji watakuwa wametuma maombi kimakosa.. just imagine wengine hawana namba za NIDA, vyeti vya kuzaliwa.. But Kila la kheri Wasakatonge
Jaza taarifa za kijaniWakuu naomba kuuliza"
Je wale ambao Kata zao,,tarafa zao na mitaa yao haipo kwenye option zilizoainishwa kwenye tovuti unafanyaje!?
Kwa wanaopata shida kujaza form namba 1 kwenye system hebu jaeibuni kutumia MICROSOFT EDGE browser.Ndio zipi mkuu,, wengine tumetumia simu
Kwani ngazi za elimu ni lazima cheti Cha kuzaliwa au Cha NIDA..?Kwanini uwsemee wengine? Nani kakambia hana namba NIDA, unasema wengine hawana vyeti vya kuzaliwa kwahiyo huyo mtu amejiungaje na ngazi za elimu bila hicho cheti?
Kwahyo unawadhihak wasio na ajiraTakwimu za jana zinaonesha MIJITU ILIOKUWA HAINA AJIRA NDIO INAONGOZA KUOMBA ZOEZI LA SENSA NI 58,916 mpaka jana