John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Alimaanosha kila la kheri katika usahili sio katika kazi akashangaa wewe unaondoka!Nmekutana na Mwalimu wangu wa sekondari kwenye usaili...nilivyoingia tu akanitambua kisha akatabasamu akaniambia "Dogo vipi?" Nikaitia, halafu akaniuliza unanikumbuka nikamjibu "ndiyo"
Akaniambia "ok kila la kheri" nikasepa, interview yangu ikawa imeishia hapo.
Kweli nmeamini kujuana kupo.
Kuna bwege Leo kasababisha ntafeli usaili, niliuliza swali akajibu ebanae nilivoingia kwa usaili Hilo swali likaulizwa mimi nikawa chap kujibu lile jibu la Yule bwege kumbe Ni la uongo.Kwa ambao watakao fanya usahihi kwa siku zijazo au kesho zingatia ukifika eneo la usahili salimia watu possible zipo ...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole mwananguKuna bwege Leo kasababisha ntafeli usaili, niliuliza swali akajibu ebanae nilivoingia kwa usaili Hilo swali likaulizwa mimi nikawa chap kujibu like jibu la Yule bwege kumbe Ni la uongo.
Jana kuna walimu baada ya kusikia kipaumbele watapewa wasio na ajira wakaamua kufanya movement ya kuwalisha sumu ma jobless kwa kiwapa majibu ya uongo ili angalau wao watengeneze nafasi ya kuchaguliwa.Kuna bwege Leo kasababisha ntafeli usaili, niliuliza swali akajibu ebanae nilivoingia kwa usaili Hilo swali likaulizwa mimi nikawa chap kujibu like jibu la Yule bwege kumbe Ni la uongo.
Watu wa maudhui 95% wamekatwa..Nimeomba usimamizi wa maudhui majina yaliotoka ni makarani tuu peke yake. Wananiambia ukiona jina lako kwa makarani basi ujachaguliwa. Huu usaili hata haueleweki
Hawajakatwa wamewekwa kwenye ukarani, maswali yao yako sawa kati ya Maudhui na Makarani.Watu wa maudhui 95% wamekatwa..
Umeamini alicho ongea hapo?Hata watakuwa ni walimu
Maana walimu wa kuu ndio walikuwa wanafanya usaili
Upo mkoani au?Duh...ningekuwa karibu ningezamia aisee, basi tu.
Ukisema hapana umekwisha,na naona hapo walikuonea huruma.Nimeulizwa pia ilo nikasema mmh!! Huu mtego au?? Nikawaambia zoezi la sensa linaanza tarehe 23/8 haifiki mwezi wa 9 akasema hujaelewa swali tunarudia wakarudia ikabid tu niseme ndiyo ila wamenichanganya
Kama ni hao sioni ajabu alichoongea
Hawajaitwa hata kwenye usaili sasa wanapita wapiHawajakatwa wamewekwa kwenye ukarani, maswali yao yako sawa kati ya Maudhui na Makarani.
Ukipita watakupangia kwenye kitengo chako. Ondoa hofu.
Ndiyo mkuu ingia kwenye tovuti ya manispaa ya Temeke mzigo tayari tangu jana.kwani majina ya temeke yametoka?
Mi nishawaambia haijalishi umepata maswali au umekosa kama mbanga unayo unapita ngoja list itoke uoneLeo,kesho majina out!! Hku niliko mbanga ni za kutosha!! Nawaona maslay queen wanavyoliwa kimasihara mchana kweupeeee...maana c kwa shobo hz!!!!
Washkaji tuendelee kutafta hela aisee hii sensa tumepgwa za uso live[emoji15]
Nadhani ni nchi nzima, hata huku niliona mwongozo kuwa wafanyakazi wawekwa endapo ma jobless wenye sifa wakiisha na nafasi zikabaki wazi.Mi nishawaambia haijalishi umepata maswali au umekosa kama mbanga unayo unapita ngoja list itoke uone
Ila kitakacho okoa watu hii operation ya kuondoa watumishi ipite na kwa baadhi ya wilaya nyengine ..sumbawanga nimeskia jana ila sina uhakika kama ni kweli