Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nadhani ni nchi nzima, hata huku niliona mwongozo kuwa wafanyakazi wawekwa endapo ma jobless wenye sifa wakiisha na nafasi zikabaki wazi.
Mambo yanaanza kubadilika zamani hizi nafasi kwa asilimia kubwa ilikuwa zao ila sahivi watu wamechafukwa na graduate wanaongezeka
 
Vipi kwa wilaya ambazo watu wa maudhui wote hawajaitwa kwenye usaili?
Hakuna wilaya hawajaita Watu wa Maudhui, majina yamechanganywa humohumo ndani. Vijana mlioomba mnapata hizo kazi, majina yenu yametoka.

Angalieni sehemu ya makarani yamechanganywa humohumo.
 
Hakuna wilaya hawajaita Watu wa Maudhui, majina yamechanganywa humohumo ndani. Vijana mlioomba mnapata hizo kazi, majina yenu yametoka.

Angalieni sehemu ya makarani yamechanganywa humohumo.
Mkuu sio kweli unachoongea Kuna wilaya hawajaita kabisa watu wa maudhui
 
Last line....watu nenden mkajaribu bahati yenu
 
Mnaweza kuamini ndani ya masaa saba tumefanyiwa usaili watu mia sita[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Hii nchi ngumu sanaaa



Ova
Panel zilikuwepo ngap? Kama zilikuwepo nyingi basi inawezekana vzuri sana
 
Mkuu sio kweli unachoongea Kuna wilaya hawajaita kabisa watu wa maudhui
Wasimamizi wa maudhui wengi wanachukuliwa kwanza wale waliokuwa wanawafanyia usaili yaani walimu wakuu kama kutatokea upungufu ndio wanaongezea hawa wengine ambao waliomba.

Kwahyo sehemu nyingine wamerahisisha wasiwasumbue kwenda kwenye usaili ili huo muda nikapambane na ishu nyingine.
 
Leo,kesho majina out!! Hku niliko mbanga ni za kutosha!! Nawaona maslay queen wanavyoliwa kimasihara mchana kweupeeee...maana c kwa shobo hz!!!!
Washkaji tuendelee kutafta hela aisee hii sensa tumepgwa za uso live[emoji15]
Ukweli huu
 
Kata ya uru kusini , majina ya wasahiliwa yalikuwa zaidi ya 400+ pamoja na muda wenywe wa usahili , kazi ilienda hivyo basi , nipo na jiuliza hapa. Idadi ile je sisi. Jobless graduates je tunaweza fikiriwa ?? Au. Tuanze kuchukua hatua nyingine , maana mimi nataka niende katika wilaya moja wapo hapa kilimanjaro ye yenye upungufu wa makarani nika jaribu kuulizia kama naweza ingizwa kwenyw system huko huki , wilaya hizo ni hai dc au rombo dc
 
kua mvumilivu ndugu yangu[emoji38][emoji4]tatizo umepaniki sanaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…