Balaa ni zito sana,hizi kata za dar es salaam rushwa ni kubwa sana mpk upate nafasiduuu si mchezooo
Sisi ndani ya masaa mawili tumefanyiwa usahili watu 118 na hakuna ukaguzi wa vyeti. Imagine mm niliulizwa kiwango changu cha elimu, chuo nilichomaliza na je kama ninatumia simu janja pia kama nina uwezo wa kutumia compyuta. Baada ya hapo nikaambiwa kila la kheri! 😂😂😂😂😂 Haki ya Mungu hii nchi ni ngumu sanaaa. Ata sina imani tena na jina kutoka. Bila shaka nilisindikiza wengine!Mnaweza kuamini ndani ya masaa saba tumefanyiwa usaili watu mia sita[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hii nchi ngumu sanaaa
Ova
Watakuingizaje wkt huko hakuna jina lako?Kata ya uru kusini , majina ya wasahiliwa yalikuwa zaidi ya 400+ pamoja na muda wenywe wa usahili , kazi ilienda hivyo basi , nipo na jiuliza hapa. Idadi ile je sisi. Jobless graduates je tunaweza fikiriwa ?? Au. Tuanze kuchukua hatua nyingine , maana mimi nataka niende katika wilaya moja wapo hapa kilimanjaro ye yenye upungufu wa makarani nika jaribu kuulizia kama naweza ingizwa kwenyw system huko huki , wilaya hizo ni hai dc au rombo dc
ashakua na mawenge huyo hajiamini ,,asubrie majina yakitoka tenaa ndo atapagawa zaidiii.Watakuingizaje wkt huko hakuna jina lako?
mimi wameniuliza sensa ya mwsho ilifanyika mwaka gani ni kamjbu 2012 ,,je,ikitokea ukapangiwa eneo jingine utakubali?nikajibu nitakubali,akaniandikia makisi ,akaniambia tayari tushamaliza,nikasema asante nikaondoka.Mimi nimeenda jana wamebadili maswali wamenishtukiza. Wananiuliza, je ikitokea nyumba ipo vichakani utaenda?. Nini maana ya statistics?. Njia gani inatumika kuhesabia watu.? N.k. Sema nimeyajibu yote.
ina upekee ndio kwasababu ni tofauti na sensa zilizowahi kufanyika nchini hii iko kidigitali zaidi.Kwann sensa ya mwaka huu ina upekeee? Majibu tafadhari?
Ni ya maandalizi ya utekelezaji wa dira ya maendeleo ya mwaka 2025Kwann sensa ya mwaka huu ina upekeee? Majibu tafadhari?
zote zilikua hivyo hivyo ila hii ya 2022 ni ya kipekee zaidi kwasababu tunaenda kidigitali zaidii.Ni ya maandalizi ya utekelezaji wa dira ya maendeleo ya mwaka 2025
1. Imetenga maeneo ya kijiografia ya kuhesabia watu ktk ngazi za vitongoji/mtaa, na upatikanaji wa taarifa za kitakwimu ktk ngazi za kitongoji/mtaa.Kwann sensa ya mwaka huu ina upekeee? Majibu tafadhari?
1.Ipo kidigital zaidi au inatumia vishkwambi kukusanya taarifaKwann sensa ya mwaka huu ina upekeee? Majibu tafadhari?
Karani aulizwe maswali ya maudhui?Maswali ni hayo hayo.
Hahahaha yaani balaa mzee kimya kabisa naona kila moja haelewi kipi ni kipi?GROUP LIMEPOA SANAAAAA,MBWEMBWE ZOTEEE ZIMEISHAAA HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
Hiyo ni ngumu labda mtu wa maudhui aulizwe ya karaniKarani aulizwe maswali ya maudhui?
mkuu labda kwenu huko ila kwetu tumepanga mistari tofauti na hata majina yako karatasi tofauti
Daaah sio poa yani, hapo tunasema lolote na liwe.kata ya kitunda majina zaidi ya 600+ mpaka sasa bado wanaendelea na usaili