Sumu ya nyigu
Member
- May 18, 2019
- 60
- 111
Bro tupo na degree zetu vijijini lakini possibility ya kupata ni 0.0001%Ukiacha Walimu wa Msingi,hakuna form four jobless wala certificate atakaepata hii kazi ya Sensa labda huko Vijijini kusiko na Wasomi.
Endelea kujidanganya kama hayo maswali ndio yanatumika kuchagua au kukata watu.Nimeuliza maswali 3 na nmejibu yote kwa ufasaha. Sasa hapo nimemuachia Mungu tu. Sijui majibu ni lini
Acha kujifariji mkuu hizi kazi hazihitaji elimu kubwa bali uelewa tu wa kawaida. Nakuhakikishia kundi kubwa litakalochaguliwa wengi ni form 4 jobless huwezi amini.Ukiacha Walimu wa Msingi,hakuna form four jobless wala certificate atakaepata hii kazi ya Sensa labda huko Vijijini kusiko na Wasomi.
Wewe waache waendelee kujipa matumaini hewa yatakayokuja kuwaumiza kisaikolojia. Uhuni umekuwa mwingi sana.Humu ndani kuna watu wanaamini kuwa ukijibu vizuri maswali yao unapata kazi bt kiuhalisia ni tofauti
Kifupi ni kuwa kama huna connection hesabu maumivu,na kubwa zaidi nahisi haya ni maelekezo kutoka NBS kuwa Viongozi wa Mitaa/Vijiji na Kata/Vitongoji walipewa majina na NBS au walipewa maelekezo kuwa wachague watu wanaona wanafaa kufanya hii kazi vigezo ni Elimu na background ya mtu husika anaeishi huo mtaa. Nawasikitia vijana masikini wa Kitanzania hasa form four waliohangaika na wanaoendelea kuhangaika na zoezi hili LA sensa wakikaa juani na kwenye mvua wakiwa na njaa kuanzia alfajiri mpaka jioni.Unamaanisha nin kaka, maana binafsi Niko totally disappointed na mchezo waliotuchezea walimu wakishirikiana na interviewers, ambao ni walimu wakuu. Maybe nikisikia neno toka kwako nitafarijika japo kidogo [emoji848]
Muda ndio msema kweli,hutaamini macho yako.Acha kujifariji mkuu hizi kazi hazihitaji elimu kubwa bali uelewa tu wa kawaida. Nakuhakikishia kundi kubwa litakalochaguliwa wengi ni form 4 jobless huwezi amini.
Nakwambia haya kwasababu nina uhakika na ninachokiongea. Kama huamini ni suala la muda tu.
Hao walimu unaowataja wengi wao wamepigwa chini kwa baadhi ya wilaya na kuna wilaya hazijatangaza hadharani kuwapiga chini ila watakatwa juu kwa juu.
Watumishi wa umma na wenye ajira watafikiriwa kama option ya pili.
Acha kuwakatisha tamaa vijana, Muda ndo utaongea ukweli So, Let's Wait...Kifupi ni kuwa kama huna connection hesabu maumivu,na kubwa zaidi nahisi haya ni maelekezo kutoka NBS kuwa Viongozi wa Mitaa/Vijiji na Kata/Vitongoji walipewa majina na NBS au walipewa maelekezo kuwa wachague watu wanaona wanafaa kufanya hii kazi vigezo ni Elimu na background ya mtu husika anaeishi huo mtaa. Nawasikitia vijana masikini wa Kitanzania hasa form four waliohangaika na wanaoendelea kuhangaika na zoezi hili LA sensa wakikaa juani na kwenye mvua wakiwa na njaa kuanzia alfajiri mpaka jioni.
Hii imenisaidia sanaKwa ambao watakao fanya usahihi kwa siku zijazo au kesho zingatia ukifika eneo la usahili salimia watu possible zipo ...
Huo ndio ukweli japo ni mchungu mno,Serikali haiwezi kupoteza mabilioni ya hela kwa kuwapa kazi nyeti kama Sensa form four na Vijana wasiojulikana backgrounds zao.Acha kuwakatisha tamaa vijana, Muda ndo utaongea ukweli So, Let's Wait...
Mbona kwenu mlipata raha huku kwetu dogo anasema majina yalitoka tareh 19/7/2022 usiku saa 2 alafu tareh 20/7/ usaili ...Kinondoni wametoa Majina 18/7/2022. Yakabandikwa kwenye Kata 19/7/2022 Usiku. Hakuna aliyepogiwa Simu wala Email. Interview 20/7 na 21/7/2022. Sijapata ona Uhuni wa Ajira kama huu. Anyway kisicho riski hakiliki. Tumenyimwa Fursa ya Ajira za muda za Sensa Kinondoni.
Umeongea kwa uchungu kwa vijana wategemea miujiza, Kuna miujiza miwili katika maisha nayo ni bahati(Mungu) na kujituma(Elimu) na vyote vinategemeanaHuo ndio ukweli japo ni mchungu mno,Serikali haiwezi kupoteza mabilioni ya hela kwa kuwapa kazi nyeti kama Sensa form four na Vijana wasiojulikana backgrounds zao.
Hiyo ni C++ computer language[emoji116][emoji116][emoji116] Nisaidie jibu
Break this algorithm to nth number sqrt()
-float Q_rsqrt( float number )
{
long i;
float x2, y;
const float threehalfs = 1.5F;
x2 = number * 0.5F;
y = number;
i = * ( long * ) &y; // evil floating point bit level hacking
i = 0x5f3759df - ( i >> 1 ); // what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala
y = * ( float * ) &i;
y = y * ( threehalfs - ( x2 * y * y ) ); // 1st iteration
// y = y * ( threehalfs - ( x2 * y * y ) ); // 2nd iteration, this can be removed
return y;
}
Mwambie Huyo sensa hakuna c wala c++ kule connection tu degree tupa kuleeSiamini kama umepoteza muda wote kuchapa hii code, sometimes ni vizuri ku skip baadhi ya unnecessary leagues BTW kuna mengi ya kufanya kwa muda huu.. Ushauri tu
Tumeitwa usaili makarani 40Angalia tu na location yenyewe ni mjini
Dar es laam watu wapo wengi
Kuna sehemu huko vijijini walioitwa kwenye usaili hawafiki 100 hapo watachukuliwa wote plus kuongeza watumishi wafike max 50 wanaohitajika
Lakini nyengine watu 700
Hapo connection inakuwa kubwa
Za chini ya kapeti kutoka kijijini :mdau wangu kanitonya kuwa kuna tetesi za watu kutoa rushwa michongo imeshaanza baada ya usahili.
#HiiInchiNgumuSaana...