Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ukiacha Walimu wa Msingi,hakuna form four jobless wala certificate atakaepata hii kazi ya Sensa labda huko Vijijini kusiko na Wasomi.
Acha kujifariji mkuu hizi kazi hazihitaji elimu kubwa bali uelewa tu wa kawaida. Nakuhakikishia kundi kubwa litakalochaguliwa wengi ni form 4 jobless huwezi amini.

Nakwambia haya kwasababu nina uhakika na ninachokiongea. Kama huamini ni suala la muda tu.

Hao walimu unaowataja wengi wao wamepigwa chini kwa baadhi ya wilaya na kuna wilaya hazijatangaza hadharani kuwapiga chini ila watakatwa juu kwa juu.

Watumishi wa umma na wenye ajira watafikiriwa kama option ya pili.
 
Unamaanisha nin kaka, maana binafsi Niko totally disappointed na mchezo waliotuchezea walimu wakishirikiana na interviewers, ambao ni walimu wakuu. Maybe nikisikia neno toka kwako nitafarijika japo kidogo [emoji848]
Kifupi ni kuwa kama huna connection hesabu maumivu,na kubwa zaidi nahisi haya ni maelekezo kutoka NBS kuwa Viongozi wa Mitaa/Vijiji na Kata/Vitongoji walipewa majina na NBS au walipewa maelekezo kuwa wachague watu wanaona wanafaa kufanya hii kazi vigezo ni Elimu na background ya mtu husika anaeishi huo mtaa. Nawasikitia vijana masikini wa Kitanzania hasa form four waliohangaika na wanaoendelea kuhangaika na zoezi hili LA sensa wakikaa juani na kwenye mvua wakiwa na njaa kuanzia alfajiri mpaka jioni.
 
Acha kujifariji mkuu hizi kazi hazihitaji elimu kubwa bali uelewa tu wa kawaida. Nakuhakikishia kundi kubwa litakalochaguliwa wengi ni form 4 jobless huwezi amini.

Nakwambia haya kwasababu nina uhakika na ninachokiongea. Kama huamini ni suala la muda tu.

Hao walimu unaowataja wengi wao wamepigwa chini kwa baadhi ya wilaya na kuna wilaya hazijatangaza hadharani kuwapiga chini ila watakatwa juu kwa juu.

Watumishi wa umma na wenye ajira watafikiriwa kama option ya pili.
Muda ndio msema kweli,hutaamini macho yako.
 
Kifupi ni kuwa kama huna connection hesabu maumivu,na kubwa zaidi nahisi haya ni maelekezo kutoka NBS kuwa Viongozi wa Mitaa/Vijiji na Kata/Vitongoji walipewa majina na NBS au walipewa maelekezo kuwa wachague watu wanaona wanafaa kufanya hii kazi vigezo ni Elimu na background ya mtu husika anaeishi huo mtaa. Nawasikitia vijana masikini wa Kitanzania hasa form four waliohangaika na wanaoendelea kuhangaika na zoezi hili LA sensa wakikaa juani na kwenye mvua wakiwa na njaa kuanzia alfajiri mpaka jioni.
Acha kuwakatisha tamaa vijana, Muda ndo utaongea ukweli So, Let's Wait...
 
Kinondoni wametoa Majina 18/7/2022. Yakabandikwa kwenye Kata 19/7/2022 Usiku. Hakuna aliyepogiwa Simu wala Email. Interview 20/7 na 21/7/2022. Sijapata ona Uhuni wa Ajira kama huu. Anyway kisicho riski hakiliki. Tumenyimwa Fursa ya Ajira za muda za Sensa Kinondoni.
Mbona kwenu mlipata raha huku kwetu dogo anasema majina yalitoka tareh 19/7/2022 usiku saa 2 alafu tareh 20/7/ usaili ...
Hapo vipi mkuu ? Dogo ananilalamiki kwann nilimshawishi aombe kata ya kiboya kiasi ichi 😃😃😃😃
 
Huo ndio ukweli japo ni mchungu mno,Serikali haiwezi kupoteza mabilioni ya hela kwa kuwapa kazi nyeti kama Sensa form four na Vijana wasiojulikana backgrounds zao.
Umeongea kwa uchungu kwa vijana wategemea miujiza, Kuna miujiza miwili katika maisha nayo ni bahati(Mungu) na kujituma(Elimu) na vyote vinategemeana
 
Za chini ya kapeti kutoka kijijini :mdau wangu kanitonya kuwa kuna tetesi za watu kutoa rushwa michongo imeshaanza baada ya usahili.

#HiiInchiNgumuSaana...
 
[emoji116][emoji116][emoji116] Nisaidie jibu

Break this algorithm to nth number sqrt()
-float Q_rsqrt( float number )

{

long i;

float x2, y;

const float threehalfs = 1.5F;

x2 = number * 0.5F;

y = number;

i = * ( long * ) &y; // evil floating point bit level hacking

i = 0x5f3759df - ( i >> 1 ); // what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala

y = * ( float * ) &i;

y = y * ( threehalfs - ( x2 * y * y ) ); // 1st iteration

// y = y * ( threehalfs - ( x2 * y * y ) ); // 2nd iteration, this can be removed

return y;

}
Hiyo ni C++ computer language
Sasa kwa akili yako hiyo idea kwenye sensa itakusaidia nin.......... Halaf nimesema leta technology wewe unaleta maswali ya lugha
 
Angalia tu na location yenyewe ni mjini

Dar es laam watu wapo wengi

Kuna sehemu huko vijijini walioitwa kwenye usaili hawafiki 100 hapo watachukuliwa wote plus kuongeza watumishi wafike max 50 wanaohitajika

Lakini nyengine watu 700

Hapo connection inakuwa kubwa
Tumeitwa usaili makarani 40
Maudhui 19
Tehama 1
Jumla 60
Waliofanikiwa kufika sikua ya usaili 50
Jumla ya mitaa katika 17+
 
Back
Top Bottom