daaahDownload. Hapa chini wimbo wa Taifa maana kila kona una bambaaaaaaa kinoumaaaaa.........
AUDIO Saraphina - Upo Nyonyo MP3 DOWNLOAD — citiMuzik
AUDIO Saraphina - Upo Nyonyo MP3 DOWNLOADwww.citimuzik.com
yaaaaaaniMjini ajira ngumu jmn.. afazal sisi huku kata ya Namwawala Ifakara tulioitwa kwenye usaili ni 47 kati ya more than 200 applied candidates...
Mkuu labda kama ulitokea familia ya kishua boom kwako Lilikua halina kazi,ila wana wengi wametokea familia za kawaida sana kiasi kwamba hawajawahi kasave hata mia mbovu ya boom,,just imagine mtu anapokea meals and accommodation + hiyo bòoks and stationery almost 2.2M per year,,analipa ada let say laki 5 kila muhula,,anabakiwa na 1.2M hapo bado hajalipa kodi,hajala,hajavaa,hajatoa kopi vitini,hajakula papuchi[emoji3],nauli za daladala,[emoji17]familia nyumbani inamuangalia kila mwezi atoe chochote anabakiwa na nini?Mtu alipata mkopo
Meals and accommodation [emoji818]
Books and stationary [emoji818]
Special faculty [emoji818]
Field [emoji818]
Tuition fees [emoji818]
Akashindwa kujibana Leo hii unasema akipewa laki 5 itamsaidia
kingine msomi gani alishindwa kufanya tafiti ndogo kuona kwamba mjini kutakuwa na ushindani Mkubwa hususani kitengo cha usimamizi wa maudhui au tamaa ndio aliweka mbele
Haya form 4 wote na jobless gongeni likes.CHINI YA KAPETI FORM FOUR 4 WOTEE UHAKIKA WA KUPITA UPO KWA ASILIMIA 100 NA JOBLESS WOTE UHAKIKA UPO SANAAAAAA KWAHIYO SUBRINI TU NA MTAKUJA KUNISHUKURU.
ASANTENI SANAA KWA MAMA KULIONA HILI.
Hilo bumu mnaona ni kubwa sana ? Eti ?Mtu alipata mkopo
Meals and accommodation [emoji818]
Books and stationary [emoji818]
Special faculty [emoji818]
Field [emoji818]
Tuition fees [emoji818]
Akashindwa kujibana Leo hii unasema akipewa laki 5 itamsaidia
kingine msomi gani alishindwa kufanya tafiti ndogo kuona kwamba mjini kutakuwa na ushindani Mkubwa hususani kitengo cha usimamizi wa maudhui au tamaa ndio aliweka mbele
Una mzuka sana yaani usahili umefanya jana leo unaulizia mchakato wa majina mapya .
Hakuna mtendaji atakula 10,000 ya mtu maana hata wao hawajui kinachofuata. Utakulaje pesa ya mtu ambae hujui kama atapitishwa. Tuwe na amani waalimu watapata kwa uhakika kabisa form four watapata kwa uhakika kabisa na majobless pia watapata. Ila watu 400,000 lazima waliwe vichwa na waliobakia 200,000 ndiyo watapata kazikka kazi. Serikali ijifunze 80,000 zetu per day zibakie hapo hapo la sivyo wakija na 30,000 kama walizoongeza kwenye mishahara hawataamini macho yao.Mtakaopata nafasi hizi bila connection mje hapa mtoe ushuhuda ili kuwa prove wrong hawa wakatisha tamaa.
Majina mengine yamepelekwa wilayani na mengine yanaendelea kupelekwa kwa ajili ya uhakiki kisha yanatumwa NBS kwa ajili ya kutangazwa rasmi kwenye tovuti.
Elfu 80 kwa makarani au maudhui ama kwa tehama?Hakuna mtendaji atakula 10,000 ya mtu maana hata wao hawajui kinachofuata. Utakulaje pesa ya mtu ambae hujui kama atapitishwa. Tuwe na amani waalimu watapata kwa uhakika kabisa form four watapata kwa uhakika kabisa na majobless pia watapata. Ila watu 400,000 lazima waliwe vichwa na waliobakia 200,000 ndiyo watapata kazikka kazi. Serikali ijifunze 80,000 zetu per day zibakie hapo hapo la sivyo wakija na 30,000 kama walizoongeza kwenye mishahara hawataamini macho yao.
Mjini ajira ngumu jmn.. afazal sisi huku kata ya Namwawala Ifakara tulioitwa kwenye usaili ni 47 kati ya more than 200 applied candidates...
Hahahah.. ungesema Neshino byuro ovu statistiksKatika swali ambalo sikutegemea kukutana nalo ni: Kirefu cha NBS & OCGS