Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mtu alipata mkopo
Meals and accommodation [emoji818]
Books and stationary [emoji818]
Special faculty [emoji818]
Field [emoji818]
Tuition fees [emoji818]

Akashindwa kujibana Leo hii unasema akipewa laki 5 itamsaidia

kingine msomi gani alishindwa kufanya tafiti ndogo kuona kwamba mjini kutakuwa na ushindani Mkubwa hususani kitengo cha usimamizi wa maudhui au tamaa ndio aliweka mbele
Mkuu labda kama ulitokea familia ya kishua boom kwako Lilikua halina kazi,ila wana wengi wametokea familia za kawaida sana kiasi kwamba hawajawahi kasave hata mia mbovu ya boom,,just imagine mtu anapokea meals and accommodation + hiyo bòoks and stationery almost 2.2M per year,,analipa ada let say laki 5 kila muhula,,anabakiwa na 1.2M hapo bado hajalipa kodi,hajala,hajavaa,hajatoa kopi vitini,hajakula papuchi[emoji3],nauli za daladala,[emoji17]familia nyumbani inamuangalia kila mwezi atoe chochote anabakiwa na nini?

Boom kwa mtu aliyetokea familia ya kawaida haliwezi kuwekeka na kufanyia mambo ya maana zaidi zaidi itaongezea madeni tu kwa wakishua wasio na boom likitoka ulipe madeni.

Boom unapokea ukiwa kijana wa moto 18+ una ujana bado na mihemko ya kichuo chuo ukiamini utaajiriwa baada ya kumaliza na kulipwa 1M per month[emoji1](maliza sasa uone)..Afu kumbuka ile hela unapokea ukiwa huna huitaji kama sasa ushapigika na kitaa vya kutosha mambo hayaendi kila kitu hakiendi hata laki 1 unaona milioni [emoji1][emoji1]..

Acheni vijana wapate hizo laki 5 uone kama wanatoboa au hawatoboi,usifananishe boom na khali ya mtaa mzee utakuja kunishukuru[emoji120]
 
Hizi nafasi hakuna cha connection maana zoezi linafanyika kwa uangalizi mkubwa kama ilivyokuwa kwenye ajira za walimu na watu wa afya ambapo taasisi mbalimbali zilihusishwa hadi watu wa usalama wa taifa.

Zoezi nyeti kama hili usidhani serikali imelala lahasha!

Ndo maana ajira za Tamisemi safari hii wamepata watoto wengi wa masikini ambao hawajui hata maana ya connection wala hawamjui hata mtandaji wa mtaa ama kijiji.
 
Vijana wenzangu kuweni na imani maana mchakato unaenda vyema kabisa kama ukipata umepata kwa haki na kama ukikosa basi ujue ni haki imetendeka kwakuwa lazima wengine wapite na wengine wabaki ndiyo maana ya usaili.

Hao wanaokuja hapa nakuwatoa watu kwenye reli kwamba sijui bila connection hutoboi ni wazushi watupu hawana wanalolijua ni wale watu waliojikatia tamaa tangu utotoni mwao kwahiyo wameathiriwa na hali hiyo.
 
Mtakaopata nafasi hizi bila connection mje hapa mtoe ushuhuda ili kuwa prove wrong hawa wakatisha tamaa.

Majina mengine yamepelekwa wilayani na mengine yanaendelea kupelekwa kwa ajili ya uhakiki kisha yanatumwa NBS kwa ajili ya kutangazwa rasmi kwenye tovuti.
 
Mtu alipata mkopo
Meals and accommodation [emoji818]
Books and stationary [emoji818]
Special faculty [emoji818]
Field [emoji818]
Tuition fees [emoji818]

Akashindwa kujibana Leo hii unasema akipewa laki 5 itamsaidia

kingine msomi gani alishindwa kufanya tafiti ndogo kuona kwamba mjini kutakuwa na ushindani Mkubwa hususani kitengo cha usimamizi wa maudhui au tamaa ndio aliweka mbele
Hilo bumu mnaona ni kubwa sana ? Eti ?

Unajilisha,pango kodi, maji , usafiri bado wengine ndio linatumika nyumbani

Halafu unapewa kila baada ya miezi miwili
 
Mtakaopata nafasi hizi bila connection mje hapa mtoe ushuhuda ili kuwa prove wrong hawa wakatisha tamaa.

Majina mengine yamepelekwa wilayani na mengine yanaendelea kupelekwa kwa ajili ya uhakiki kisha yanatumwa NBS kwa ajili ya kutangazwa rasmi kwenye tovuti.
Hakuna mtendaji atakula 10,000 ya mtu maana hata wao hawajui kinachofuata. Utakulaje pesa ya mtu ambae hujui kama atapitishwa. Tuwe na amani waalimu watapata kwa uhakika kabisa form four watapata kwa uhakika kabisa na majobless pia watapata. Ila watu 400,000 lazima waliwe vichwa na waliobakia 200,000 ndiyo watapata kazikka kazi. Serikali ijifunze 80,000 zetu per day zibakie hapo hapo la sivyo wakija na 30,000 kama walizoongeza kwenye mishahara hawataamini macho yao.
 
Elfu 80 kwa makarani au maudhui ama kwa tehama?
 
Watu mmezitolea macho laki 5 malalamiko mengiiii hatarii, iki hivi hawawezi kuchukua wote walio omba automatically lazima wengine waliwe vichwa iwe Kwa koneksheni au Kwa utaratibu waliouweka wao Cha msingi ukipata shukuru na ukikosa shukuru, nimefanya usaili wa watu 900 tangu Asubhi mpaka jioni Sina hamu kabisa
 
Back
Top Bottom