Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee.Huku kwetu Tandahimba shimo limetema[emoji39][emoji39]View attachment 2301172
Mbna wote wajiandaeAisee.
Huu ndo Ukweli muda umeshatembea maana nbs hawawezi chakata majina laki Mbili kwa hizi siku 5 zilizobakiHakuna cha nbs ni Geresha tu
Hao ni waliochaguliwaMbna wote wajiandae
Nadhani cha msingi mngeuacha muda uamue, kama watu walivumilia miezi miwili na siku kadhaa, mnashindwaje kuvumilia hizi siku 5?Huu ndo Ukweli muda umeshatembea maana nbs hawawezi chakata majina laki Mbili kwa hizi siku 5 zilizobaki
Mbona majina yanatangazwa huku kwenye kata, kuna kata wamefanya usaili siku hiyo hyo wakatoa majina ya waliopita kwenye usaili watu wanasubiria mafunzo ya tarehe 29/7.Huu ndo Ukweli muda umeshatembea maana nbs hawawezi chakata majina laki Mbili kwa hizi siku 5 zilizobaki
Mkoa gani?Mbona majina yanatangazwa huku kwenye kata, kuna kata wamefanya usaili siku hiyo hyo wakatoa majina ya waliopita kwenye usaili watu wanasubiria mafunzo ya tarehe 29/7.
Mbona majina yanatangazwa huku kwenye kata, kuna kata wamefanya usaili siku hiyo hyo wakatoa majina ya waliopita kwenye usaili watu wanasubiria mafunzo ya tarehe 29/7.
Unavo wazungumzia usalama wa Taifa utafikiri wao ni malaika na hawana ndugu/Marafiki.
Connection hua haziepukiki lazima ziwepo na nafasi za wananchi(wasio na connection) pia zipo.
So chances za kupata na kukosa kwa kila mtu pia zi
Usiseme kuna kata- sema jina la kata,wilaya na mkoa ,taarifa inakuwa ishakamilika. Vinginevyo inakuwa kama uzushiMbona majina yanatangazwa huku kwenye kata, kuna kata wamefanya usaili siku hiyo hyo wakatoa majina ya waliopita kwenye usaili watu wanasubiria mafunzo ya tarehe 29/7.
tandahimba ya RussiaHuku kwetu Tandahimba shimo limetema[emoji39][emoji39]View attachment 2301172
Wakina njomba nchumali wako Fasta sanaHuku kwetu Tandahimba shimo limetema[emoji39][emoji39]View attachment 2301172
Ngoma inaisha hapo hapo katani[emoji16]Huu ndo Ukweli muda umeshatembea maana nbs hawawezi chakata majina laki Mbili kwa hizi siku 5 zilizobaki
Sio kipindi hiki tu jamaa kawekeza kwenye suala hili.Huyu Assenga kipindi hichi atakuza sana blog yake
Kumbe alama jumla ni 50Kddk mimi nilijaziwa 36 na niliona kabisa, mpaka sasa sina imani ya kuwepo. Mwalimu mkuu wa shule ya msingi mkoani Mattercoal yako
uliona wapi wakati watu wanao jaza marks ni zaidi ya 4 acha uoga mkuu utatoboa tuKddk mimi nilijaziwa 36 na niliona kabisa, mpaka sasa sina imani ya kuwepo. Mwalimu mkuu wa shule ya msingi mkoani Mattercoal yako
Mzee mimi nimeona kabisa na kwetu alikua anajaza mmoja tu marks zote na ndio huyo mwalimu mkuuuliona wapi wakati watu wanao jaza marks ni zaidi ya 4 acha uoga mkuu utatoboa tu