NdioKumbe alama jumla ni 50
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioKumbe alama jumla ni 50
ashafeli huyooo,ukiwa na 40 au hamsini ujue ushatoboa.Kumbe alama jumla ni 50
Teh teh tehKddk mimi nilijaziwa 36 na niliona kabisa, mpaka sasa sina imani ya kuwepo. Mwalimu mkuu wa shule ya msingi mkoani Mattercoal yako
Utajiskiaje jina lako lisipoonekana?Nashkuru mungu usaili ulikwenda Vizuri sana kwa upande wangu nilijibu clearly maswali yote na nilistuka na kufurahi zaidi pale baada ya kumaliza msimamizi mkuu alivyonambia umechangamka Sana hajamaliza akaniambia tena you have a lots of confindence, Mungu ni mwema Sana,msaili alitokea kunikubali nilikuwa mcheshi nimejibu maswali bila kufukiria na nilikuwa nikijibu huku nikitabasamu
Tandahimba wamotoWameanza ku release View attachment 2301309
je,utajisikiaje jina lako lisipoonekana??Nashkuru mungu usaili ulikwenda Vizuri sana kwa upande wangu nilijibu clearly maswali yote na nilistuka na kufurahi zaidi pale baada ya kumaliza msimamizi mkuu alivyonambia umechangamka Sana hajamaliza akaniambia tena you have a lots of confindence, Mungu ni mwema Sana,msaili alitokea kunikubali nilikuwa mcheshi nimejibu maswali bila kufukiria na nilikuwa nikijibu huku nikitabasamu
Siyo rizki yangu ikitokea hivyo ila naimani jina langu litatokea, mungu mkubwaUtajiskiaje jina lako lisipoonekana?
Sasa ulivokua unajieleza maelezo meeeengi. Hii list ya majina ya watakaolamba asali inatolewa ngazi ya Kata, kisha yatapelekwa Wilayani, kisha yatakusanywa Mkoani then kutoka hapo ndipo yatatumwa NBS.Tandahimba wamoto
Hizi kazi pia ni rizk ikitokea mtu kakosa basi siyo rizki yake hiyoje,utajisikiaje jina lako lisipoonekana??
na matokeo yakitoka ulete mrejesho,
na kila mtu jamani alete mrejesho uliosahihi?? tujuane wale watakaoenda kwenye mafundisho.
safi sanaa mungu ni mkuu kiukweli unajiamini sanaaa,kama upo dar na ukifanikiwa kwa hatua ijayo tuonane kilingeni tupige bia mbili tatu hv.Siyo rizki yangu ikitokea hivyo ila naimani jina langu litatokea, mungu mkubwa
Bad luck nipo Tanga City council,tupo pamoja kiongozisafi sanaa mungu ni mkuu kiukweli unajiamini sanaaa,kama upo dar na ukifanikiwa kwa hatua ijayo tuonane kilingeni tupige bia mbili tatu hv.
Mimi nimejibu najua ni hovyo kabisa nimeharibu ila najua napata [emoji16]je,utajisikiaje jina lako lisipoonekana??
na matokeo yakitoka ulete mrejesho,
na kila mtu jamani alete mrejesho uliosahihi?? tujuane wale watakaoenda kwenye mafundisho.
napapendaa sanaa tanga maana sijawahi fika ,nataka huko nije kula demu kimasihara maana huko nasikia mambo si mambo pisi kali za kutoshaaa na wajuzi wa mambo nikipata pesa nitakuja kujivinjari kidogo huko aisee nione dunia ya huko inakwendaje.Bad luck nipo Tanga City council,tupo pamoja kiongozi
akikuandikia chini ya arobaini umekwisha ndugu maana lazma waandike na makisi ulozipata wakati wa usaili.Mimi nimejibu najua ni hovyo kabisa nimeharibu ila najua napata [emoji16]
Ukienda haurudi hukonapapendaa sanaa tanga maana sijawahi fika ,nataka huko nije kula demu kimasihara maana huko nasikia mambo si mambo pisi kali za kutoshaaa na wajuzi wa mambo nikipata pesa nitakuja kujivinjari kidogo huko aisee nione dunia ya huko inakwendaje.