Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

hvi huu mchakato wa kupata haya majina unafanywa na nbs au halmashauri?
 
Unavo wazungumzia usalama wa Taifa utafikiri wao ni malaika na hawana ndugu/Marafiki.

Connection hua haziepukiki lazima ziwepo na nafasi za wananchi(wasio na connection) pia zipo.

So chances za kupata na kukosa kwa kila mtu pia zipo.
 
Sehemu gani hyo mkuu

Au umesikia umeskia fununu

Maana utaratibu majibu yanawafikia walengwa kwa kutoka kwa mkeka wa majina
Mkuu acha kuwasikiliza watu kama hawa kazi yao ni kupotosha tu hawana uhakika na jambo ila wanajaribu kuchomekea mambo kama hayo ili waone kama kweli kuna watu wamepigiwa simu.

Yeye mwenyewe hapo alipo ni kama hajiamini anaulizia taarifa kiaina.

Majina yote yatatangazwa rasmi na NBS na kubandikwa katani. Hata hao watendaji wa kata hawajui chochote kuhusu majina yatakayotoka.

Jukumu lao lilikuwa ni kuwasaili tu na kutoa mapendekezo kwamba majina haya ndo wamepata alama za juu lakini mwisho wa siku kamati ya sensa ya wilaya ama mkoa wanaweza kutoa orodha nyingine kwa kuchanganya majina ya waliopendekezwa na kata pamoja na ambao wameonekana kuwekwa pembeni.
 
Unavo wazungumzia usalama wa Taifa utafikiri wao ni malaika na hawana ndugu/Marafiki.

Connection hua haziepukiki lazima ziwepo na nafasi za wananchi(wasio na connection) pia zipo.

So chances za kupata na kukosa kwa kila mtu pia zipo.
Tatizo umeathiriwa na ugonjwa wa 'connection' ndo maana kila wakati unafikiria connection tu.

Hizi nafasi haki itatendeka atakayepata amepata kwa haki na atakayekosa amekosa kwa haki.

Kama ulimpa mtendaji ten yako ameipiga free na hana uwezo wa kukuchomeka maana ile kamati kwasababu hujui tu kuna mamluki mle wanasoma mchezo tu.

Tatizo unachukulia kila kitu simple tu yaani serikali itenge bajeti zaidi ya bilioni 600 kwa zoezi nyeti kama hili halafu waruhusu uhuni ufanyike.

Vijana wenzangu kuweni na imani kama uliandikiwa kupata utapata tu na kama ni kukosa sio kwasababu ya connection bali ni utaratibu wa kawaida wa usaili kwamba wapo watakaopenya na wengine kubaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…