Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Kuna swali sijui ni la 3 lile lina marks 20, mfano unaulizwa ikitokea simu yako ika stuck unafanyaje? Wao walikuwa wanataka utaje at least njia 2 ndo upate alama zote, ukitaja 1 tu unapewa 10.
Hizo ni za wakuu wa shule automaticallyNilichogundua nafasi za msimamizi wa maudhui zilikuwa hazihitajiki basi walioomba wote na waliofanya usahili imekula kwao
Vipi ikititokea wakuu wa shule au walimu wakuu wa shule hawajaomba na kwenye usahili hawajafika????Hizo ni za wakuu wa shule automatically
Wasipotaka watalazimishwaVipi ikititokea wakuu wa shule au walimu wakuu wa shule hawajaomba na kwenye usahili hawajafika????
Ni sawa kwa idadi hyo make vitongoji 14 Karan 2 na 4 km dharuraHuko monduliView attachment 2301994
Yaani huu usaili umekaa kimchongo walai, kuna Dada huku yeye hajaulizw swal lolote kabisa. Anasema waliangalia vyeti tuu. Usail ukaisha huyu naye atapata marks 50kama ni hivyo mfano Mfano huyo aliyeulizwa miaka yake tu
Kulikuwa na kigezo cha kusitisha usaili kutokana na jibu alilotoa ?
Kwenye kijiji inawezekana kukawa na msimamizi wa maudhui mmoja ila makarani mmoja kila kitongoji ila inategemeana na ukubwa wa kitongoji, vitongoji vingine vinaweza kuwa na makarani wawili mpk watatuKwenye kata moja kuna vijiji au mitaa kadhaa. Kwenye kila kijiji au mtaa kuna vitongoji. Na kwenye vitongoji hivo kuna kitu kinaitwa ENEO LA KUHESABIA (A.E).
Sasa je kwenye kila eneo la kuhesabia je WASIMAMIZI WA MAUDHUI ni wangapi na makarani ni wangapi.
Wapi hapo wameuliza miaka yake tuu na interview ikaishia hapo ? Ulikuwa naye huyo mtu kwenye chumba cha usaili au amekusimulia? wakat kwenye chet cha kuzaliwa miaka inaonekana , sometimes tuache kulazimisha chai kuwa mtoriNdio nimeuliza kuna mtu hajaulizwa hilo swali unalolisemea wala hayo mengine
Kaulizwa miaka yake tu ..huyu unampaje maksi ? Unasitisha vipi usaili kuendelea kumuuliza kutokana na jibu lake?
Acha kuwa mbishi mkuu, mimi niefanyiwa usaili, niliulizwa maswali matatu tu.Wapi hapo wameuliza miaka yake tuu na interview ikaishia hapo ? Ulikuwa naye huyo mtu kwenye chumba cha usaili au amekusimulia? wakat kwenye chet cha kuzaliwa miaka inaonekana , sometimes tuache kulazimisha chai kuwa mtori
Ni kweli kuna MTU kaulizwa pia jina lake tuu kisha usail ukaisha . NA wakat jina liko kwenye vyet alivyowakabizWapi hapo wameuliza miaka yake tuu na interview ikaishia hapo ? Ulikuwa naye huyo mtu kwenye chumba cha usaili au amekusimulia? wakat kwenye chet cha kuzaliwa miaka inaonekana , sometimes tuache kulazimisha chai kuwa mtori
Ndio maana mimi nawashangaa wanaosema wamejibu maswali vizuriYaani huu usaili umekaa kimchongo walai, kuna Dada huku yeye hajaulizw swal lolote kabisa. Anasema waliangalia vyeti tuu. Usail ukaisha huyu naye atapata marks 50
Acha ligi kuna baadhi ya watu wameulizwa hivyo huku kwetu ndio maana walienda spidi mtu unatoka mpka unashangaa . msiteteane hapa wazee wa systemWapi hapo wameuliza miaka yake tuu na interview ikaishia hapo ? Ulikuwa naye huyo mtu kwenye chumba cha usaili au amekusimulia? wakat kwenye chet cha kuzaliwa miaka inaonekana , sometimes tuache kulazimisha chai kuwa mtori
Wanateteana [emoji16][emoji16][emoji16]Acha kuwa mbishi mkuu, mimi niefanyiwa usaili, niliulizwa maswali matatu tu.
Walimu na waajiriwa wamebebana hapa
Hili zoezi la usaili limechelewa kufanyika pia baadhi ya maeneo kuna watu wengi wasaili nao wanachoka yawezekana hao walioulizwa swali moja kama ni kwel umethibitisha labda walishapata idadi kamili kwa waliotangulia kuingia kwenye usaili au ywezekana pia walikuwa wakisailiwa mwishoni hivyo wanabahati mbaya wasaili wamechokakama ni hivyo mfano Mfano huyo aliyeulizwa miaka yake tu
Kulikuwa na kigezo cha kusitisha usaili kutokana na jibu alilotoa ?