Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Punguzeni pressure ajira zenyewe za muda pia kila kitu ni rizki kuulizwa maswali machache siyo kupita yawezekana umejibu wrong alafu suala la connection lipo ila siyo kila sehemu na siyo nchi nzima kumetendeka connection hapana nakataa kuna maeneo hata hakuna competition watu wachache sana yani hivyo ni suala la Kawaida tu tofauti na watu wamekaza fuvu sijui connection apo mtu ukute kaomba sehemu kama mbagala huko watu shazi,kuna sehem huko mikoani walimu hawapo kabisa kwenye ukarani wameomba usimamizi maudhui nina rafik angu kaambiwa na msaili mkuu je tukikuhamisha kutoka ukarani kwenda usimamizi wa maudhui upo tayari yani apo kijini watu ni wachache mno walioomba idadi tu ya waombaji ni wachache sehemu kama hizi hazihitaji kujuana Kabisa,
 
Mkuu hata wewe ungekuwa msaili sehemu yenye watu shazi kama mbagala huko siyo rahisi Kabisa kila mtu umuhoji maswali yote lasivyo mtakaa hata siku 2 mkifanya usaili,namiin hilo la watu kuulizwa swali moja pengine wangeuliza kila mtu maswali yote wasingetimiza lengo la siku kwaiyo kilichokuwa kinafanyika ni kupita kwa speed kwa baadhi ya watu ukiwa na bahati mbaya ndiyo kama hivyo, pia unaeza pita japo mtu kaulizwa swali moja ikitegemea msaili alikuwa anahitaji mtu wa namna gani
 
Ni kweli kuna MTU kaulizwa pia jina lake tuu kisha usail ukaisha . NA wakat jina liko kwenye vyet alivyowakabiz
]
We jamaa hujawahi kufanya usaili zaidi ya huu itakuwa,nina hakika ni mgeni Kabisa wa interviews,usaili unaweza ulizwa ndio unaitwa Nani sasa anaweza akakosea kujibu mtu anaweza jibu naitwa Peter,sasa huyu Peter msaili atakuwa kashamuona hata yeye mwenyewe hajui kujitambulisha Vizuri, mwengine anaulizwa unaitwa Nani anaweza jibu mimi. Yani anaulizwa swali lkn na yeye anajiuliza, kwaiyo confindence inaweza kufanya ukakosa swali rahisi tu hata jina lako usiweze litaja lote,kuna ambao kwenye usaili wakiingia hawasalimii Kabisa yani mtu anasimama tu kama roboti anasubiri maswali,sasa ukikutana na kisirani huna bahati [emoji2]
 
Yaani huu usaili umekaa kimchongo walai, kuna Dada huku yeye hajaulizw swal lolote kabisa. Anasema waliangalia vyeti tuu. Usail ukaisha huyu naye atapata marks 50
kuangalia vyeti ni hatua ya mwisho, alivukaje foleni ya usaili mkuu mbona mnatulisha tango pori?
 
Tuelekeze kwenye usaili ukifika unasalimia vipi??
 
hapo uko sahihi kabisaa mkuu,
mimi nilivyoitwa nikaingia mpaka sehemu husika nilvyofika sikukaa kwanza ,cha kwanza nikamsalimia baada ya hapo nikasubr ruhusa ya kukaa nikaipata nikaambiwa kaa nikatoa vyeti vyangu nilivyoambiwa nitoe nikampa baada ya hapo ndo mahojiano yakaanza sasa na maswali,alivyomaliza akaniambia waweza ondoka nikanyanyuka nikasema asante nikaondoka,,hvyo ndo maana ya interviews.
 
Tushafanya saili mpaka njee ya hii galaxy, kuna jamaa humu kasema maswali lazima yawe matano. Mim ndo nkamjibu kuna watu wameulizwa swali moko tuu

]
 
Tushafanya saili mpaka njee ya hii galaxy, kuna jamaa humu kasema maswali lazima yawe matano. Mim ndo nkamjibu kuna watu wameulizwa swali moko tuu

]
We mgeni wa interviews usingekuwa mgeni usingeshangaa kuulizwa jina lako Nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…