Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Wadada wa mjini ni kweli kabisa ila kijijini aise ni kazi kazi nimefanya nao postikodi hawana kabisa u sisterdu Ila nilivyohamishwa kwenda kusaidia kuongeza nguvu kata nyengine ambayo ipo mjini ndio nikakutana na viberenge .. baada ya ku record nyumba mbili wanakaa wanapumzika wanapiga story nikasema ukisikia siku zimeisha lakini hupew mshiko mpka umalize kazi ujue itanikuta mimi hii
 
Ulichoandika unakielewa lakini??

Mtu umempa tuition fee halafu unamwambia ajibane.

We jamaa hicho kichwa ni cha nini sijui?
 
Hii nchi ni ngumu sana. Kuna wengine wameandikiwa status ya hana ajira wakati ni walimu waajiriwa wa serikali ambao tunaishi nao mtaani na hapa ndipo naamini kuwa hili zoezi linafanyika kwa maelekezo na connection za hapa na pale
Hili zoezi serikali isipotilia mkazo wa ajira kutolewa pasipo upendeleo zoezi litakuwa gumu maana naona mgomo wa kimya kimya kutohesabiwa.

Watu watasema waliopeana connection basi wajihesab wenyewe na familia zao ama kutoa taarifa ambazo sio sahihi.

Sio jambo la busara kumpa ajira mtu mwenye ajira tayari wakati kuna vijana kibao mtaani wanasota hawana ajira.

Serikali iwe makini na watu iliowaamini kufanya usaili maana wao tayari wamepewa nafasi za upendeleo kuwa wasimamizi wa maudhui pasipo kufanyiwa usaili halafu wao wanataka kuwaonea vijana wasio na connection.
 
😃😃😃 Kwamba watu wata goma watasema amjihesabu wenyewe mlio peana connection
 
Kwa taarifa yako zaidi ya 90% ya nafasi za ngazi wilaya, mkoa na kitaifa ni watumishi. Walikua wanajiandikisha tuu majina ofisini kama anataka au hataki ila sharti mkuu wa idara akuruhusu. Zilipaswa kutangazwa lakini waliziminya kimya kimya wakagawana. Kuna taasisi nyingine hasa halmashauri na ofisi za DC na RC kazi zilisimama ofisini hakuna watu, wote wamekimbilia pesa za sensa
 
Mkuu hayo mambo mi naona wanatuchora tu, na no one care na haya malalamiko yetu, huku kwetu vijana 10 wa postcode wameingia bila kupingwa maagzo ya mkurugenz, sasa 32-10 =22,hizo ndio ziligombaniwa na watu 200. Connection haiwez isha mkuu, huko ngaz ya kitaifa ambako walikuwa wanalipwa mamilioni hv unazan watu wameenda enda tu bila kujuana? Mkuu tunywe maji mengi tu , tusubr majina.
 
Hapo mwanzo ulisema usaili wa haki

Kulikoni tena mbona unakubali [emoji16]
 
Kuba halmashaur washatoa feedback za usail mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…