Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Wadada wa mjini ni kweli kabisa ila kijijini aise ni kazi kazi nimefanya nao postikodi hawana kabisa u sisterdu Ila nilivyohamishwa kwenda kusaidia kuongeza nguvu kata nyengine ambayo ipo mjini ndio nikakutana na viberenge .. baada ya ku record nyumba mbili wanakaa wanapumzika wanapiga story nikasema ukisikia siku zimeisha lakini hupew mshiko mpka umalize kazi ujue itanikuta mimi hiiWachache ambao wapiga kazi wengi ila wengine haswa masista duuh hawataweza nimeona kwenye postikodi mwanzoni,wanawake wanaacha kabisa au kazi inachelewa akisema kachoka kachoka.
Kutembea na kuhoji watu sio mchezo kama nilivyoona madodoso ni 5 dadeki lets wait and see
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app