The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Nafasi hizo ni maagizo moja kwa moja toka NBS na hao Walimu Wakuu ni automatically selected bila usahili sawasawa na maagizo husika.Nafasi za maudhui zimenisikitisha Sana wamepeana wenyewe tu
Ivi na kulikuwa na option ya kuomba nafasi 1 tuNafasi hizo ni maagizo moja kwa moja toka NBS na hao Walimu Wakuu ni automatically selected bila usahili sawasawa na maagizo husika.
Tatizo muongozo wa hii sensa haijatolewa wote ndiyo maana mkanganyiko huu umetokea. NBS hawakusema wazi kua hizo nafasi ni kwa watu maalumu tu bila usahili.
Daah pamoja na kupigwa panga hawa watu kila mkeka wanajitokeza at least bora huo mkeka wapo wawiliMambo bull bull kuna halmashauri zingine zina jielewa sanaa
Nafasi ni 1 tu iliruhusiwa kwa mtu mmoja.Ivi na kulikuwa na option ya kuomba nafasi 1 tu
Tangu Ijumaa , ni screen short hii hii ndo inayotembea mitandao yote..!!Mambo bull bull kuna halmashauri zingine zina jielewa sanaa
Hii mbna imetumwa toka jnaMambo bull bull kuna halmashauri zingine zina jielewa sanaa
Wanaboa kweliTangu Ijumaa , ni screen short hii hii ndo inayotembea mitandao yote..!!
Nilikwambia kila kitu kinaishia kwenye Kata huku wafanya maamuzi wakiwa ni Walimu Wakuu,Mtendaji na Diwani ukabisha kuwa mambo yote yanaenda kumalizwa na NBS na hakutakuwa na upendeleo wala connection.Wapi nimeilaumu serikali mkuu? Najaribu kutoa angalizo tu.
Halafu unaposema uliniambia, kwani uliniambia nini mkuu?
Weka listKesho saa 3 kamil asbuh....
Ntaupost mkeka wa Mkoa wa Lindi
Halmashaur ya Mtama tu......
Mi mwenyew uhakika jina limetoka.....
Ndio maana nikaandika baadhi ya halmashauri ziko vizuriTangu Ijumaa , ni screen short hii hii ndo inayotembea mitandao yote..!!
Ujinga mtupu.WILAYA YA MONDULI[emoji116][emoji116]
UKEREWE, ILEMELA, SONGWE, MTWARA MANISPAA, Majina ya waliochaguliwa yapo kwenye hii channelcensus interview results Monduli District Pdf - Bromunews
This is the list of all names selected after sensa interview. Majina ya waliofaulu usaili wa sensa 2022 PDF, orodha ya majina ya waliofaulu mtihani wa sensa,bromunews.com
BROMUNEWS.COM
Join us to get info related to:- 📌 Scholarship 📌Job advertisement 📌How to make money online tips 📌 University admissions 📌 Freelancing tips 📌Back up channel: http://bit.ly/3ux5Xd4 📌More details vist: https://bromunews.com ✉️ For ads DM @online255t.me
Tetesi ni 30 per day kwenye semina,siyo official lknKwa aliyesikia fununu ya malipo itakua kiasi gani per day.
Zoezi ni siku 11 mkuuGawanya lak5 kwa siku5
Elfu 80 per hourKwa aliyesikia fununu ya malipo itakua kiasi gani per day.
Semina wanapiga siku ngapiTetesi ni 30 per day kwenye semina,siyo official lkn
Siyo hivyo,za ndani kabisa zinasema ni USD 30 per hourElfu 80 per hour