The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Nafasi hizo ni maagizo moja kwa moja toka NBS na hao Walimu Wakuu ni automatically selected bila usahili sawasawa na maagizo husika.Nafasi za maudhui zimenisikitisha Sana wamepeana wenyewe tu
Tatizo muongozo wa hii sensa haujatolewa wote ndiyo maana mkanganyiko huu umetokea. NBS hawakusema wazi kua hizo nafasi ni kwa watu maalumu tu bila usahili.