Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ratiba inasemaje kuhusu kuanza semina, mbona kama inaonesha tarehe 27 yaani kesho ndiyo semina inaanza, kama mpaka sasa hayajatoka majina ya usaili inakuwaje? Msaada
Mtwara majina yametoka tokea juzi ila semina tarehe 29.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…