adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Mtwara majina yametoka tokea juzi ila semina tarehe 29.Ratiba inasemaje kuhusu kuanza semina, mbona kama inaonesha tarehe 27 yaani kesho ndiyo semina inaanza, kama mpaka sasa hayajatoka majina ya usaili inakuwaje? Msaada