Mijadala Migumu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 380
- 422
Zoezi la sensa nasikia ni zaidi ya siku kumi round hii?Kwa wale walobahatika majina yao kurudi haya ndo yatakuwa malipo yenu kwa zoezi zima
Seminar cku 21@50000Tsh=1050000
Zoezi la sensa cku 3@100000=300000
Jumla Tsh 1350000
Kwa majobless hela ya mtaji hiyo kazi kwenu
Punguza stress utapakwa vilainishi bure.Makenge humu yanakuja kutoa ramli from no where na kusepa kuna mmoja anajiita Mjombakenge aliwahi kuja mara moja na ramli yake na kusepa.
Kwa wenye koneksheni wapo walofanyiwa hivyo, ila km koneksheni hamna hawakujihangaisha kabisa kupoteza muda.Hivi wakuu kuna ambao waliomba maudhui wakapangiwa hata ukarani?
Sensa sio siku tatu,shida inaanzia hapoKwa wale walobahatika majina yao kurudi haya ndo yatakuwa malipo yenu kwa zoezi zima
Seminar cku 21@50000Tsh=1050000
Zoezi la sensa cku 3@100000=300000
Jumla Tsh 1350000
Kwa majobless hela ya mtaji hiyo kazi kwenu
Dah! Haya bana, wacha tuendelee kumuomba MunguKwa wenye koneksheni wapo walofanyiwa hivyo, ila km koneksheni hamna hawakujihangaisha kabisa kupoteza muda.
Usichukulie kila kitu siriaz bro hizo stress umeziona wapi au ni muendelezo wa ramli ? kwa taarifa yako shemeji kanihakikishia nafasi hapa home kaniambia mimi nikae tu nisiwe na stress mpaka mambo yangu yatakapo kaa sawa kwa hiyo kila kitu free sina stress yeyote nikichoka kushinda mtandaoni nahamia sebuleni kucheki muvi nikisubiri cha mchana na simu kujaa moto nicheze gemu na kuperuzi Jf.Punguza stress utapakwa vilainishi bure.
Bunda wanakuwaga wa mwisho kila kitu..na tena hawa hao majirani Bunda Dc ni uhuni mtupu umejaa maofisini
Unaijua nyamagana wewe?Bunda cha mtoto😁Bunda wanakuwaga wa mwisho kila kitu..na tena hawa hao majirani Bunda Dc ni uhuni mtupu umejaa maofisini
AiseeePunguza stress utapakwa vilainishi bure.
Sensa Inaanza Tar 23/08/ inaishia tarehe 6/09 almost ni two weeks hii sijui siku tatu umeitoa wapi mjomba acheni Ramli ambazo hazino relevanceKwa wale walobahatika majina yao kurudi haya ndo yatakuwa malipo yenu kwa zoezi zima
Seminar cku 21@50000Tsh=1050000
Zoezi la sensa cku 3@100000=300000
Jumla Tsh 1350000
Kwa majobless hela ya mtaji hiyo kazi kwenu
Hakuna na hata ufanye vip hawakubadilishi labda kama una konekshen ya 10GHivi wakuu kuna ambao waliomba maudhui wakapangiwa hata ukarani?
Ngoja tuone mwisho wa mechi nani anachukua nafasi ila ubabaishaji ni mwingi sanaUnaijua nyamagana wewe?Bunda cha mtoto😁
Muda ndio utakaoamuaHakuna na hata ufanye vip hawakubadilishi labda kama una konekshen ya 10G
Siku 3 ni totally wrong sijajua malipo ila sensa itachukua zaidi ya siku 3Kwa wale walobahatika majina yao kurudi haya ndo yatakuwa malipo yenu kwa zoezi zima
Seminar cku 21@50000Tsh=1050000
Zoezi la sensa cku 3@100000=300000
Jumla Tsh 1350000
Kwa majobless hela ya mtaji hiyo kazi kwenu