Mimi nashkuru nimepta bila ya connectionHumu hakuna hata mmoja aliyepata bila connection atoe mrejesho
Hili swala la a anwani za makazi sizani kama linauhalisia,mfano kwenye kata yetu tulio chaguliwa almost watu wote hawakushiriki hilo zoezi, watano kati ya 42 ndo walishiriki anwani za makaziHabarini za Jioni
kwa wale ambao wanasubiri PDF za Kazi ya Sensa kama haukufanya kazi ya Anuani za Makazi (Postikodi) na sio mkuu wa shule, afisa halmashauri au mratibu elimu kata basi usiweke matumaini sana. Ni bahati mno kupata kama haupo sehemu hizo tajwa.
hata Hao walimu wanaodhaniwa kuwa ndio walengwa wakuu hali ni mbaya sana.
Sensa kwa maendeleo ya nchi. wote waliopata na kukosa Tujiandae kuhesabiwa.
Agost 23 2022 keep the date.
Tanga City
UkaraniUliomba ukarani au usimamizi?
HoyyeeeeeHongera umepambana sana .#JobulesiHoyeee!!!
Wapi huko,madame Smie nipo mwisho wa mji huku
Kabisa ni kushukuru tu Mungumkuu wameyachakachua majina sana tu walim kama wote nimeona hapo angalau kata ya nguvumali walim s sanahio tangasisi ndio usiseme,
kuna siku halmashauri walitaka vijana kwa kila kata walikua na semina tangu asbh saa tatu mpaka saa kumi walitakiwa wawalipe elf 20 kila mtu huwez amini wa mbali kama mabokwen, tongoni, kirare pongwe hao walilipwa elf 5 wa tangasisi masiwani walilipwa elf 3
kama umepata wewe shukuru tu lakini wamechakachua mnoo
Halmashauri ya nyamagana majina yote yalipelekwa jiji na watatoa keshoNyamagana shida nini?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Noma sana yani humu kila mtu kamuombea mdogo wake
Huwezi kuhama kutoka maudhui kwenda karan bila koneksheniNimepata, niliomna Maudhui, nimepewa Ukarani.
Watu wanakadiria hata ukikmbiahuku nilipo mpaka sasa hawajatoa majina na ni kijijini ....nasema hivi nikikosa hii kazi wakawa hesabu paka na mbuzi shenzi
Utajua kuwa hujuiHuwezi kuhama kutoka maudhui kwenda karan bila koneksheni
Mzee watajua wenyewe ila mm sitohesabiwa.Watu wanakadiria hata ukikmbia
We ndio huna mdogo?huku nilipo mpaka sasa hawajatoa majina na ni kijijini ....nasema hivi nikikosa hii kazi wakawa hesabu paka na mbuzi shenzi
Haha mkuu me nimeomba bhna wee waache wazugaji wa wadogo zao wanajifanya mambo safi hawana shida....wakati tunatumia fake idWe ndio huna mdogo?