Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kwema ndugu,

Naomba kufahamu majina ya waliobahatika sensa upande wa morogoro washatoa.

Mwenye nayo naomba link
 
Habarini za Jioni
kwa wale ambao wanasubiri PDF za Kazi ya Sensa kama haukufanya kazi ya Anuani za Makazi (Postikodi) na sio mkuu wa shule, afisa halmashauri au mratibu elimu kata basi usiweke matumaini sana. Ni bahati mno kupata kama haupo sehemu hizo tajwa.
hata Hao walimu wanaodhaniwa kuwa ndio walengwa wakuu hali ni mbaya sana.
Sensa kwa maendeleo ya nchi. wote waliopata na kukosa Tujiandae kuhesabiwa.
Agost 23 2022 keep the date.
Hili swala la a anwani za makazi sizani kama linauhalisia,mfano kwenye kata yetu tulio chaguliwa almost watu wote hawakushiriki hilo zoezi, watano kati ya 42 ndo walishiriki anwani za makazi
 
mkuu wameyachakachua majina sana tu walim kama wote nimeona hapo angalau kata ya nguvumali walim s sanahio tangasisi ndio usiseme,

kuna siku halmashauri walitaka vijana kwa kila kata walikua na semina tangu asbh saa tatu mpaka saa kumi walitakiwa wawalipe elf 20 kila mtu huwez amini wa mbali kama mabokwen, tongoni, kirare pongwe hao walilipwa elf 5 wa tangasisi masiwani walilipwa elf 3

kama umepata wewe shukuru tu lakini wamechakachua mnoo
Kabisa ni kushukuru tu Mungu
 
huku nilipo mpaka sasa hawajatoa majina na ni kijijini ....nasema hivi nikikosa hii kazi wakawa hesabu paka na mbuzi shenzi
 
Back
Top Bottom