Dkt Guston
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 105
- 119
Nakushauri kama Hujapata na Kama hauko mbali na Sehemu watakayofanyia Semina basi Nenda kahudhurie, Kuna Nafasi nyingi sana zinakuwaga Wazi kwasababu mbalimbali na zinapewa Watendajijina langu halijatoka.nimepoteza siku 2 kufanikisha interview.na bado sijapata.ni maumivu tu
Mkuu haujapata ya Hanang DC?
Wamekata majina ya Watumishi wote waliyokua wapo kwenye mikeka, ukiachana na walim/walim wakuuHuku kwetu mkoa x wilaya x majina yalipelekwa kwa mkurugenzi akawarudishia maana walikuwa wamejaza majina ya watumishi tu na majobless wengi walkuwa wamelambwa vichwa na mpaka sasa bado kimya hatujui majina yanatoka lini, Hii nchi ngumu Sana
tushee matatizoayo ya moro municipal wadau
Ushauri mzuri saaana nishaiona hiyo mara nyingi tuNakushauri kama Hujapata na Kama hauko mbali na Sehemu watakayofanyia Semina basi Nenda kahudhurie, Kuna Nafasi nyingi sana zinakuwaga Wazi kwasababu mbalimbali na zinapewa Watendaji
Pole sana mkuu, Wapi hiyo?jina langu halijatoka.nimepoteza siku 2 kufanikisha interview.na bado sijapata.ni maumivu tu
ubarikiwe mkuu
Yaaan ni balaaa [emoji1787] huku Tabora mpaka sasa ngoma bila bilaHaya mambo haya nipo ndichi huku na mtendaji Braza kabisa ila ngoma bila bila mpka dakk hii naye haele6 kitu
Majina yashatumwa wilayani na wenyewe wanasubiri mkeka kama sisiHaya mambo haya nipo ndichi huku na mtendaji Braza kabisa ila ngoma bila bila mpka dakk hii naye haele6 kitu
Tabora tupo mkuu tupeane updates maana nasikia ngoma zipo wilayani zinakatikiwa viuno ***** sijui ndio wanachekechaYaaan ni balaaa [emoji1787] huku Tabora mpaka sasa ngoma bila bila
mchukuuniWapi huko,madame S