Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Msaada tafadhari.

kWa wanao jua watu wa tehama semina watafanyia halmashaur kama ilivyokua kwenye interview au wataenda kwenye tarafa?
 
Huku kwetu wanasemina wameshaandaliwa mabweni ya kulala kwa atakayetaka
 
Huku kwetu mkoa x wilaya x majina yalipelekwa kwa mkurugenzi akawarudishia maana walikuwa wamejaza majina ya watumishi tu na majobless wengi walkuwa wamelambwa vichwa na mpaka sasa bado kimya hatujui majina yanatoka lini, Hii nchi ngumu Sana
 
jina langu halijatoka.nimepoteza siku 2 kufanikisha interview.na bado sijapata.ni maumivu tu
Nakushauri kama Hujapata na Kama hauko mbali na Sehemu watakayofanyia Semina basi Nenda kahudhurie, Kuna Nafasi nyingi sana zinakuwaga Wazi kwasababu mbalimbali na zinapewa Watendaji
 
Huku kwetu mkoa x wilaya x majina yalipelekwa kwa mkurugenzi akawarudishia maana walikuwa wamejaza majina ya watumishi tu na majobless wengi walkuwa wamelambwa vichwa na mpaka sasa bado kimya hatujui majina yanatoka lini, Hii nchi ngumu Sana
Wamekata majina ya Watumishi wote waliyokua wapo kwenye mikeka, ukiachana na walim/walim wakuu
 
Q
Nakushauri kama Hujapata na Kama hauko mbali na Sehemu watakayofanyia Semina basi Nenda kahudhurie, Kuna Nafasi nyingi sana zinakuwaga Wazi kwasababu mbalimbali na zinapewa Watendaji
Ushauri mzuri saaana nishaiona hiyo mara nyingi tu
 
Haya mambo haya nipo ndichi huku na mtendaji Braza kabisa ila ngoma bila bila mpka dakk hii naye haele6 kitu
 
Back
Top Bottom