Xmonster
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,644
- 2,382
Usijali nitakuita uje uchukue kiepe yai pale chalinze mwahakounikumbuke kwenye kumwagilia moyo haha nakutania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali nitakuita uje uchukue kiepe yai pale chalinze mwahakounikumbuke kwenye kumwagilia moyo haha nakutania
Aiseeeh wanatia hasiraTabora kuna mambo ya kishenzi sana huu mkoa utakua ulilaaniwa
Kiukweli watajihesabu wenyewePale unapomhonga mtendaji kata na diwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2306251
Chini pia kuna Ramadhan Issa Batuti katokea mara 2Pale unapomhonga mtendaji kata na diwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2306251
Daaah kwel sikuona na hiyo,,,,upo makini mkuuChini pia kuna Ramadhan Issa Batuti katokea mara 2
Daaaah awapo serious hawa jamaaChini pia kuna Ramadhan Issa Batuti katokea mara 2
Umeona ulichoweka..?
anakaa mchukuuni sehem gani?? karibuDada angu anaishi mwahako apo maonyesho,dada angu mwengine yupo maeneo ya mchukuuni pia,unialike mdogo wako nije kukutembelea apo tushakuwa family
hahahahhaa haya banaUsijali nitakuita uje uchukue kiepe yai pale chalinze mwahako
Kituo cha gari nimekisahau hayupo mbali Sana barabara,anakaa mchukuuni sehem gani?? karibu
Hahahahaha mkuu hii ndio TanzaniaDaaaah awapo serious hawa jamaa View attachment 2306273
Sehemu nyingi wamefanya hivi...Huku kimanga wasimamizi wa maudhui wamechukua walimu tu watajihesabu wenyewe
Kwamba kuna watu wana kwenda kususia zoeziHuku kimanga wasimamizi wa maudhui wamechukua walimu tu watajihesabu wenyewe