Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Pale unapomhonga mtendaji kata na diwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2306251
Umenifanya niende Kata yangu, nimekuta majina watu wanne, wapo kwenye Karani na qapo Maudhui. Mbaya zaidi majina ya Karani ni mawili na hawajawwka namba za simu, majina hayo hayo yametokea kwenye Maudhui ila yamewekwa matatu na namba za simu. Hii sio sawa
 
mpwayungu village
Image_1658958383.jpg
 
Hii inawezekana vipi....!!!

Kwamba unamfuata mtendaji ama unafanyaje ukiwa hapo eneo la semina
Ukifika pale kwenye Semina utamkuta Mtendaji na Ma Afisa ngazi ya Wilaya.

Cha Kufanya: Ongea na Mtendaji mwambie Kama kutakua na Nafasi yoyote itakayoachwa Wazi na Mtu Kwa sababu zozote akupe maana uliomba lakini haukupita kwenye Usahili, lakini pia Ongea na Mmoja wa team ya Watu wa Wilaya ummpe taarifa.

Nafasi Huwa zinakuwaga mwanzoni mwa Semina na siku ya Kufunga Semina, na zinatokea Kwa sababu nyingi

1. Safari za Ghafla
2. Maradhi
3. Umbali
4. Makosa/ kuondolewa/kufukuzwa nk
 
Back
Top Bottom