Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Nyamagana bado wanademka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyamagana bado wanademka.
Ule wa ilala umekamilika bhana kata zote zipo muleIlala kata ya kivule mkeka vipi ?
Uko wapi?naomba uwekee hapa sijauona.Ule wa ilala umekamilika bhana kata zote zipo mule
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kama sio mwalimu unaliwa kichwaYaaan ni balaaa [emoji1787] huku Tabora mpaka sasa ngoma bila bila
Mkuu umetupwa nje ya mashindano , pole boss , halimashaur zingine bado mikeka inaendeleaILALA WAMEAMUA UGOMVI
Tulianza kama utani kukimbizana kutafuta fingerprint za wadhamini, tukasubiri Kwa muda mrefu hatimaye mkeka wa kwanza ulitoka Jina langu likawemo, kama mjumbe mmoja alivyosema kwenye Uzi wa Mamba Vs predators akasema eti kwakuwa mamba anataga basi hastahili kuingiankwenye Hilo kundi, Kuna mjumbe akasema usiombe ukutane na mamba wa mto Nile, Ndio kilichonipata Jina langu likakutwa na hao Mamba, linatafunwa huku mamba chozi Lina mtoka, kiufupi nimeliwa kichwa.
Nitumie fursa hii kumshukuru Mungu Maana maandiko yametuasa kumshukuru Kwa kila jambo, lakini pia niwashukuru wote ndani ya huu Uzi Kwa kutumia vifurushi au VPN mkaleta update ya kinachoendelea huko vyumbani. Ramli zote chonganishi zilipelekea watu wakataka kutoana ngeu.
Niwape pongezi wote ambao wamevuka Salama nawaasa Wakachape kazi, uvivu hautakiwi, na posho wazitumie vizuri hatutaki kusikia Tena ooh hatuna mitaji yakujiajiri, mitaji hiyooo msihonge kawekezeni. Wengine maisha lazima yaendelee wengi walikuwa wanazipigia hesabu hizo hela, usiihesabie Hela ambayo sio yako utaishia kukata tamaa.
Naomba kuaga rasmi kutoka kwenye huu Uzi.
TUJIANDAE KUHESABIWA
ili iweje bestmadam s nahtaj kuona sura ako
mhhhKituo cha gari nimekisahau hayupo mbali Sana barabara,
Mzee kutuma inazingua ila unaweza kwenda telegram HR Tanzania au assenge onlineUko wapi?naomba uwekee hapa sijauona.
Anahisi we ni mzuri wewe ni mobeto,hana pa kupeleka hela za sensa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ili iweje best
hahaha nna sura ya baba hata asitake kuniona atulie tuAnahisi we ni mzuri wewe ni mobeto,hana pa kupeleka hela za sensa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jokes asije kuja na full throttle
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Anayehesabu ni karaniHuku kimanga wasimamizi wa maudhui wamechukua walimu tu watajihesabu wenyewe
We acha tuu,Mkuu umetupwa nje ya mashindano , pole boss , halimashaur zingine bado mikeka inaendelea
Nyamagana si jiji lakn
Sent using Jamii Forums mobile appHii halmashauri ni sugu kwa kila jambo,haina mpinzani,vuluvulu