Mohamedmteleke
Senior Member
- Mar 21, 2019
- 137
- 172
Mda bado statisticsSasa jikoni unafanya nini?pika basi
Will hit one mWanahitajika watu wengi halafu watu wachache walioomba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umasikini mwingi sana JF
ni pm mkuuMkuu Niko mbali naomba msaada wako
Sasa wewe jidanganye,kwa takwimu walizotoa tarehe 9 waliofanikisha maombi ni 100k na ushee,kumbuka maombi yalianza kutumwa tar 5 hivyo hapo ni ndani ya siku 4 tu....[emoji23][emoji23]Wanahitajika watu wengi halafu watu wachache walioomba
Wanataka kutengeneza mazingira ya rushwa tu.Jamani vipi huko kwenu watendaji wanabaki na copy ya form maana huyu wangu ananiambia hajapewa maelezo hayo??
Nahitaji majibu jamaniIvi mdhamini akiwa mbali mm nikaamua kutafuta muhuni aweke dole gumba lake je watajuaje Hilo dole gumba sio lahuyo mzamini???. Maana mm mzamini yupo mbali sana tena polini huko hakuna ata mtandao
Mpka sahivi zinatoka nne .jana nimetoa nneSiku ya kwanza nadhan mpka siku ya nne mbele zilikuwa znatoka page 4 ,lakin zile page 4 zilikuwa zinaonesha udhaifu fulani Hv so wamepunguza hzo page Kwahyo kila mtu atafuata utaratibu huzika.
We unadhani watakagua madole gumba ya wangapi mimi nimepiga kote la kwangu hadi la wadhamini wote wawiliNahitaji majibu jamani
Ujue watu wa takwimu wapo humu pia wanatuchola mtu wangu [emoji38][emoji38]. Mm swali langu ni kwamba je watajuaje kuwa hili dole gumba sio la zainab??? Tupo million 60 Tanzania kujua kila dole gumba huo ni uongo, mm natia madole yangu bhanaWe unadhani watakagua madole gumba ya wangapi mimi nimepiga kote la kwangu hadi la wadhamini wote wawili
Tena kama wapo huku waache ufala watu wanalalamika mifumo yao mibovuUjue watu wa takwimu wapo humu pia wanatuchola mtu wangu [emoji38][emoji38]. Mm swali langu ni kwamba je watajuaje kuwa hili dole gumba sio la zainab??? Tupo million 60 Tanzania kujua kila dole gumba huo ni uongo, mm natia madole yangu bhana
Watangalia umeombea kijiji au kata ipi kisha wataangalia wadhamini wako umeweka wanaishi wapi na ndipo dhana ya kufoji dole gumba itakapoanzia.Ujue watu wa takwimu wapo humu pia wanatuchola mtu wangu [emoji38][emoji38]. Mm swali langu ni kwamba je watajuaje kuwa hili dole gumba sio la zainab??? Tupo million 60 Tanzania kujua kila dole gumba huo ni uongo, mm natia madole yangu bhana
swala la kuyajua madole gumba si wanaunganisha na mfumo wa nida tu mkuu.Ujue watu wa takwimu wapo humu pia wanatuchola mtu wangu [emoji38][emoji38]. Mm swali langu ni kwamba je watajuaje kuwa hili dole gumba sio la zainab??? Tupo million 60 Tanzania kujua kila dole gumba huo ni uongo, mm natia madole yangu bhana
Alama ya dole gumba ukishascan uhalisia unatoka kudetect inakuwa ngumuswala la kuyajua madole gumba si wanaunganisha na mfumo wa nida tu mkuu.
lakini sidhani kama itakua hivyo, dole gumba navyodhani ni lamda ikitokea hitilafu yoyote mfano kama karani kufanya wizi au hujuma yoyote na kukimbia ndo watahangaika na hayo madole gumba ya wadhamini. kwa hii phase ya kuomba ajira sioni kama watakua wanahaja na kuyaangalia, ni sawa na wewe ukaweka saini ambayo siyo ya kwako ,hawatahangaika kuijua kama ni yako kweli au sio mpaka pale itakapohitajika kufanya hivyo.
Binadamu hakai sehemu moja mkuu maisha ya saizi tunapuyanga kila siku kuhama makaziWatangalia umeombea kijiji au kata ipi kisha wataangalia wadhamini wako umeweka wanaishi wapi na ndipo dhana ya kufoji dole gumba itakapoanzia.
Form sijatumiwa kwenye email, Bali unapomaliza kujaza taarifa zako page inayokuja Ina sehemu ya kudownload form.Nimejaza kote nimemaliza,nimetuma maombi sijapata jibu lolote,nimeangalia email hawajanitumia....
Nimecheck spam box empty,nimereflesf mailbox nothing.....
Nimerudi kwenye mfumo nimejaza tena taarifa nimetuma tena najibiwa NAMBA HII ISHATUMIKA KUTUMA MAOMBI YA SENSA NENDA KATIKA EMAIL YAKO UANGALIE USERNAME NA PASSWORD UINGIE KUPRINT FORM NO.1 ....ila nikiingia hakuna kitu
Msaaaaaadaaaa jamani
Nifanye nini ndugu watanzania wenzangu?
Zipo 4Zipo 3