Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nyamagana bado upuuzi unaendelea. Toeni majina acheni zenu. Wametoa Hadi wa maporini huko iweje nyie wa mjini.
 
Najuta kuangalia mkeka asubuhi kabla ya chai maana wamekata vibe kabisa 😆😆😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mimi vibe lilikata mapema Saba, nilikutana na nyomi ya kufa mtu halafu nilidamka saa 12 asubuhi usaili nimekuja kufanya Saa moja jioni mzuka ulikata kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]

Nimekuwa kichwa wakuu nimeangalia sasa hivi kwenye simu ya madau tukiwa watu watatu wa majobless wa mtaa mmoja na wote hatumo.
Dahh kddk pole sana mzee, sisi mpaka sasa ngoma bado nyaunyau, TABORA utabaki kuwa mkoa wa hovyo sana kutokea ndani ya hii nchi ya WALALAHOI
 
Back
Top Bottom