Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ushuhuda mfupi juu ya kupata nafasi ya sensa.
Binafsi niliomba kaz ya maudhui, sikufaham kama ile nafasi sitakiwi mtu wa namna yangu.
Nilifanya usaili nikiwa kama msimamizi wa maudhui.
Kutokana na umuhimu wangu katika mtaa niliopo iliwalazimu kunisaidia kuniamisha na kunipeleka kwenye ukarani,lkn wenzangu wote wameliwa vichwa zaidi ya 30
Wapo waliopata bila connection nawajua ,lkn pia wapo waliopata kwa connection ,hii ipo sehemu yoyote.
Mliokosa msikate tamaa, uchaguzi 2020 sikupata,post code sikupata ila hii nipo ndani.
TUSHIRIKI SENSA KWA MAENDELEO.
Naomba kuuliza....hiv huko kwenye semina ni go and return au kuna kulala wakuu???

Sent from my TECNO PR651E using JamiiForums mobile app
 
Hivi , semina ya sensa halmashauri ya wilaya ya moshi vijijini inafanyikia wapi ,
 
Duuuu
Ivhi ni kweli wamebadilisha siku ya semina hawa jamaa??
 
Back
Top Bottom