Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwakesikuomba mkuu, aliepata ni mdogo wangu
Ni LAKI TISA NA POINT KADHAA! Haipungui 900KTayari nishaona jina langu,nasubiria hizo 735,000/=
Temeke Michongo tuu hii wilaya mpaka saa hii majina hawatoii AiseeTemeke oyeeeeee
Itakua inapishaana labda kati ya halmashauri moja na nyingineNi LAKI TISA NA POINT KADHAA! Haipungui 900K
Interview au semina?Jamani kuna aliyepata majina sensa kwa wilaya ya temeke?( yani ya kwenda kwenye Interview)
Kote auTarehe ya semina imebadilishwa tena mpak tareh 31 duuh
naona baadhiKote au
Sjajua kuna halimashaur mbili busega na huko mara zimethibitisha
Ruvuma piaTarehe ya semina imebadilishwa tena mpak tareh 31 duuh
Naomba kuuliza....hiv huko kwenye semina ni go and return au kuna kulala wakuu???Ushuhuda mfupi juu ya kupata nafasi ya sensa.
Binafsi niliomba kaz ya maudhui, sikufaham kama ile nafasi sitakiwi mtu wa namna yangu.
Nilifanya usaili nikiwa kama msimamizi wa maudhui.
Kutokana na umuhimu wangu katika mtaa niliopo iliwalazimu kunisaidia kuniamisha na kunipeleka kwenye ukarani,lkn wenzangu wote wameliwa vichwa zaidi ya 30
Wapo waliopata bila connection nawajua ,lkn pia wapo waliopata kwa connection ,hii ipo sehemu yoyote.
Mliokosa msikate tamaa, uchaguzi 2020 sikupata,post code sikupata ila hii nipo ndani.
TUSHIRIKI SENSA KWA MAENDELEO.
Mkuu umepata niniHivi , semina ya sensa halmashauri ya wilaya ya moshi vijijini inafanyikia wapi ,