Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Najuta kuangalia mkeka asubuhi kabla ya chai maana wamekata vibe kabisa πππAcha tu ndugu yangu tujiandae tu kuhesabiwa
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Mimi vibe lilikata mapema Saba, nilikutana na nyomi ya kufa mtu halafu nilidamka saa 12 asubuhi usaili nimekuja kufanya Saa moja jioni mzuka ulikata kabisaNajuta kuangalia mkeka asubuhi kabla ya chai maana wamekata vibe kabisa πππ
Tayari nishaona jina langu,nasubiria hizo 735,000/=PDF loading....!
Hawana tofauti na TEMEKE [emoji1787]mpaka sasa wilaya ya NYAMAGANA (MWANZA JIJI) haijatoa majina.
Na kesho ndio wanasema mafunzo yanaanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Kigoma bado wilay ata moj anHawana tofauti na TEMEKE [emoji1787]
Dahh kddk pole sana mzee, sisi mpaka sasa ngoma bado nyaunyau, TABORA utabaki kuwa mkoa wa hovyo sana kutokea ndani ya hii nchi ya WALALAHOI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]
Nimekuwa kichwa wakuu nimeangalia sasa hivi kwenye simu ya madau tukiwa watu watatu wa majobless wa mtaa mmoja na wote hatumo.
Uko Tabora halmashauri gani?Dahh kddk pole sana mzee, sisi mpaka sasa ngoma bado nyaunyau, TABORA utabaki kuwa mkoa wa hovyo sana kutokea ndani ya hii nchi ya WALALAHOI
Tabora Mjini hapaUko Tabora halmashauri gani?
Tabora Mjini hapa
Tabora waliopata wanapigiwa simu kiongozi wewe hujapigiwa?Tabora Mjini hapa
[emoji1787] ndio itakua nishakosa mpaka sasa najiandaa kuaga humu na kukuimbia uziTabora waliopata wanapigiwa simu kiongozi wewe hujapigiwa?
Hamna kitu hukoEbu Ingia google search asenga online kama nimeona ame share
Noted.Tayari nishaona jina langu,nasubiria hizo 735,000/=
Penyewe hapa mwamba. Yani wivu umenishika kata ya home mbeya washikaji zangu wote wamepata, yani kata wamechukua watu 100πππ Na waliomba 180, waliohudhuria usaili n 128πNamanyere moja hiyo
Ni ramli tu hii mkuu,usijeukazingatia sana.Noted.
Ramli hii umetoa wapiTayari nishaona jina langu,nasubiria hizo 735,000/=